Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukiwaambia hawa watu wamechanganyikiwa na maisha munakataa🤣🤣🤣 sijui kavaa pempers huyu

20230307_121619.jpg
 
Are they Japanese? I have a feeling Japanese contractors do commendable job compared to their Chinese counterparts. But I hear they are way expensive compared to the Chinese contractors
It's a Spanish company.
 
Ni watz wachache ambao wako busy kupost maendeleo ya nchi yetu,wengi wako busy kutafuta madhaifu ya wengine...
Turudi kwenye mstari uzi ushapoteza dira.

Hayo na maoni yangu tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Facts, wengi wanapost kuhusu Kenya hata kutushinda. Obsession hatari. 😂 😂 😂
 
Facts, wengi wanapost kuhusu Kenya hata kutushinda. Obsession hatari.
Baada ya kugundua kwamba huko mnapoteza "battle" ndio mnaomba Suluhu sio?. Ninyi ndio mara zote mnaanzisha "battle" na nchi mbalimbali sio Tanzania pekee, kwasababu Tanzania tumefanikiwa kuwakaba Koo, mnaanza kuomba poo.

Sasa sikilizeni, ujinga wenu wa kupenda kujisifia, kujikweza na kujiona Bora kuzidi nchi zingine, fanyieni nchi zingine sio Tanzania, mkijaribu kutukwaza na kutugusa "Negatively in any way" tutajibu mapigo kwa nguvu zote.

Ulishasikia watanzania wakijibizana mitandaoni na nchi yoyote Ile zaidi ya Kenya?, Ila ninyi wakenya mnajibishana na Nigeria, South Africa, Uganda, Ghana na Tanzania.

Jaribuni kujenga mahusiano mazuri na nchi zingine, punguzeni ujuaji mwingi, "otherwise" tutaendelea kupambana na ninyi mwanzo mwisho, kamwe hatutowaachia nafasi ya kuendeleza tabia zenu za hovyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mkenya ndio alianzisha hii battle? 🤣 🤣 🤣 🤣 Rudi page one bila kulia.
 
Ni watz wachache ambao wako busy kupost maendeleo ya nchi yetu,wengi wako busy kutafuta madhaifu ya wengine...
Turudi kwenye mstari uzi ushapoteza dira.

Hayo na maoni yangu tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tunawaonesha madhaifu kwa kua wao hujiona wako level za europe wakat wananuka shombo la dagaa🤣🤣 binaadamu yuko tayar kufa njaa ila aonekane ana maisha mazuri mbele za watu wakat roho yake inatolewa na njaa
 
Kwani Mkenya ndio alianzisha hii battle? 🤣 🤣 🤣 🤣 Rudi page one bila kulia.
Hata kama mkenya hakuanzisha ila mwanzoni kabisa mulikuja na dharau na matusi sasa yakowapi ??🤣🤣🤣 kule nairaland kazi yenu ni kuwadanganya wa nigeria na kuwatukana kwasababu wako mbali hawajui nguo zenu za ndani sasa sisi jirani tunaejua mpaka rangi za chupi mutatudanganya nn????
 
Hata kama mkenya hakuanzisha ila mwanzoni kabisa mulikuja na dharau na matusi sasa yakowapi ?? kule nairaland kazi yenu ni kuwadanganya wa nigeria na kuwatukana kwasababu wako mbali hawajui nguo zenu za ndani sasa sisi jirani tunaejua mpaka rangi za chupi mutatudanganya nn????
Unahasira sana kijana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hata kama mkenya hakuanzisha ila mwanzoni kabisa mulikuja na dharau na matusi sasa yakowapi ??🤣🤣🤣 kule nairaland kazi yenu ni kuwadanganya wa nigeria na kuwatukana kwasababu wako mbali hawajui nguo zenu za ndani sasa sisi jirani tunaejua mpaka rangi za chupi mutatudanganya nn????
Wewe unamauchungu za kijinga sana. Kusema Kenya imeizidi Tanzania kwa mambo mengi ni uongo?
 
Back
Top Bottom