Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I usually wonder when Tanzaníans say Kenya hakuna pesa... Sijui nani huwapea hio idea
View attachment 2538927

They even made a mistake, The 4th individual, Bosire is Kenyan.
View attachment 2538928
Waambie tena walee kondoo washangilie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtu katoka kwao kaja kuinvest tayar kashakua mkenya
Screenshots_2023-03-06-09-54-30.png
 
Ukiona just 1 bongolala woman hapo kwa hio list weka tick alafu unitag, nitafunga hii account sahii. 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwavile nimewaumbua sasa umekua mkali 🤣🤣🤣🤣🤣 tanzania ina millionares wengi sawa na uchukue na nchi zote za esta africa combined na bado hamutoboi na huwez sikia hata tunaongea

Ww huyo rostam ulikua humjui na hajulikani lakini kaja kuwashangaza kenya toka mumepata uhuru hamujawah kukutana na kitu kizito kama hicho 🤣🤣🤣🤣
 
Kwavile nimewaumbua sasa umekua mkali 🤣🤣🤣🤣🤣 tanzania ina millionares wengi sawa na uchukue na nchi zote za esta africa combined na bado hamutoboi na huwez sikia hata tunaongea

Ww huyo rostam ulikua humjui lakini kaja kuwashangaza kenya toka mumepata uhuru hamujawah kukutana na kitu kizito kama hicho 🤣🤣🤣🤣
Unanimention kwanini bila kuweka tick, kama umekosa tulia. 🤣 🤣 🤣
 
Unanimention kwanini bila kuweka tick, kama umekosa tulia. 🤣 🤣 🤣
Nimewaumbua sasa munakasirika 🤣🤣🤣 mzungu katoka zake italy na america kaja kuwekeza tayar kashakua mkenya kaah nyinyi watu dunia hii ya leo
Screenshots_2023-03-06-09-54-30.png
 
Siku hzi sarah manker amekua mkenya na sio kutoka ethiopia nimeona na kondoo mmoja ame like akishangikia

Nani aliwadanganya resley marincola ni mkenya na sio kutoka america ??? Hvi kujisifia ujinga hua munapata faida gani munalipwa au????
View attachment 2538977
Mkuu, hao watu wamedangaywa Sana na media zao kwa kuwajaza ujinga vichwani mwao kiasi kwamba hivi Sasa hawawezi tena kubadilika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hao watu wamedangaywa Sana na media zao kwa kuwajaza ujinga vichwani mwao kiasi kwamba hivi Sasa hawawezi tena kubadilika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣sasa inabidi wabadilike kulingana na kasi ya dunia manake dunia ishabadilika leo hii hata mtoto anaezaliwa leo huwez kumdanganya

Wamedanganywa miaka kenda ona leo sasa wanadondokea pua kwa aibu 😆😆 wamebakia sisi nye nye nye
 
Back
Top Bottom