Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaacha kuiga vitu vizuri kama hizi ili upambane na njaa, badala yake unawakopesha wananchi jero jero eti “hasola fandi”

Hii idea itakuja kumpa heshma sana bashe ikienda vizur na kuwa endelevu hii ndio dawa ya ajira na kupunguza umaskini zaidi zaidi kuproduce mazao ya kuuza level za kidunia...
Naomba mungu wasisurbotage huu mpango.
 
Namsikia zwazwa anasema eti watanzania wana chuki na wakenya wanasahau hii vita walianzisha wenyewe ya kua na roho mbaya dhidi ya maendeleo ya tanzania 🤣🤣🤣

Inafkia hatua wakenya walioko ufaransa wanaandamana kuzuia bomba la mafuta kujengwa tanzania kisa roho mbaya na chuki munafkiri watanzania watawapenda nyinyi ikiwa leo munadanganya dunia hadharani olduvai gorge iko kwenu wakat iko tanzania nani atawapenda nyinyi wenye roho mbaya za kiibilisi 🤣🤣🤣🤣

Na kenya sio tanzania tu muna vita vya maendeleo na karibu nchi zote africa kila nchi africa kwenu ni adui 😆😆😆 alaf munaomba kupendwa leo wakat africa inahangaika na uhuru nyinyi mukajitenga pekeenu mukabakia kufanya biashara na kusahau nchi zingine kutoa msaada wa aina yoyote ndio maana hamuna urafiki na nchi yoyote africa kwa roho mbaya na tamaa
 
Sasa unataka kusema Taifa gas kamzidi Oryx gas kwa market share? Saa ingine usidandie mjadala bila kuelewa kilichoandikwa kwanza. Oryx ana command almost 50% ya gas market in Tanzania hivyo Taifa gas ni cha mtoto kwa Oryx gas.
evidence? Na wapi gas storage ya 30 mln tonnes ya Oryx?
 
Already Watanzania wengi wana chuki dhidi ya Kenya wewe ukiwa mmoja wao. Hilo tunajua bali hapa tunaongelea ukweli aliosema ambao wengine wenu hamtaki kuuskia.
Ukweli upi?, nani asiyejua kwamba GDP ya Kenya ni kubwa?, Labda ukweli ni huo kwa Tanzania kutoa kazi kwa kampuni ya Kenya, hilo ndio kosa.

Tunaomba viongozi wetu wasirudie tena hili kosa, wakenya sio watu wa kufanya nao kazi, ni matumaini yetu hii ni mara ya mwisho kwa kampuni ya Kenya kupewa kazi, ikitokea hivyo, tutapitisha kampeni Kama Ile iliyosababisha Sylvia Mulenge kukataliwa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
O gas
Cam gas
Oryx
Puma gas
Lake gas
Taifa gas
Manjis gas
KMJ
Ham gas

Etc na wote ni giants na ni washindani wakubwa sana huyo hajui lolote kuhusu tanzania 🤣🤣🤣🤣
Giants wagani na gas yote haifikii 1/2 ya consumption ya KEnya!!!!
 
Giants wagani na gas yote haifikii 1/2 ya consumption ya KEnya!!!!
Kwa vile nyinyi muna consumption gani?? Ikiwa over 70% bado wanatumia kuni na mkaa itakua ngap ?? 🤣🤣🤣 na taifa gas ndio kaja kuua kampuni zenu zote na naomba mununue taifa gas plz 😁
 
evidence? Na wapi gas storage ya 30 mln tonnes ya Oryx?
Kwa market share, Taifa Gas ni mdogo sana, ndo kaanza juzijuzi kwa kuinunua Mihanzi Gas. Lkn kwa investment (au business expansion na marketing) anayoifanya saiz ni kubwa kuliko hao wengine (lkn usidhan hao wengine nao wamekaa tu kama mazoba wanamuachia Taifa Gas atanuke zaid, saiz naona Puma nae kaingia mzigon na kampuni yake PumaGas), lkn kiufupi market share yake bado ni ndogo sana.. itakuwa kubwa baadae baada ya matokeo ya investment au marketing yake kuonekana, watu wengi tu including nyumban kwangu bado tunatumia Oryx.. bado hatujaona sababu ya kutufanya tutumie Taifa Gas
 
Picha moja imemaliza shughuli yote nairobi alaf mukikaa hapa munajidanganya nairobi ni kubwa kuliko dar 🤣🤣🤣🤣
20230304_181907.jpg
 
Kwa market share, Taifa Gas ni mdogo sana, ndo kaanza juzijuzi kwa kuinunua Mihanzi Gas. Lkn kwa investment (au business expansion na marketing) anayoifanya saiz ni kubwa kuliko hao wengine (lkn usidhan hao wengine nao wamekaa tu kama mazoba wanamuachia Taifa Gas atanuke zaid, saiz naona Puma nae kaingia mzigon na kampuni yake PumaGas), lkn kiufupi market share yake bado ni ndogo sana.. itakuwa kubwa baadae baada ya matokeo ya investment au marketing yake kuonekana, watu wengi tu including nyumban kwangu bado tunatumia Oryx.. bado hatujaona sababu ya kutufanya tutumie Taifa Gas
Mihanzi au Mihan gas? Ninachosema mimi hamna kampuni inayo au inatarajia kuwa na storage capacity ya 30 mln ltrs of gas in East africa in near futire! Sasa ni kwa ufupi tu, fanyeni hivi mnipe storage capacity ya gesi ya Oryx na hao wengine!
 
Taifa gas hana soko kubwa kwa Bongo Bro.. mostly watu wanatumia oryx hasa mikoani huko ndio kabisa

Arusha gesi no 1 ni Mangis gas..

Kuhusu storage me sijui ila naongea ninachokiona kwa ground.. Taifa gas me kwa mara ya kwanza nimeikuta DSM tu ..
 
kusema ukweli Dar ya sasa sio sawa na dar ya miaka ya nyuma,kwenye hii miaka nane dar imeshoot sana yaani hata ukiangalia majukwaa na media mbalimbali za kimataifa zinavyoizungumzia dar ya sasa lazima ujihisi fahari aisee,,yaani sahivi watanzania tunajiamini kabisa kuingia google na kutafuta "most developed african cities" unaikuta dar kwenye namba za mwanzo kabisa,,
Binafsi nisiwe mnafiki,nampongeza sana JPM maana emetuheshimisha sana,miradi aliyoifanya na aliyoiacha ndo inatuweka kwenye map hadi leo
 
Back
Top Bottom