Sumbawanga? Duuh hii kaliHuyo ni kijana wa sumbawanga,sio mzalendo wa nchi yake hata kidogo anaiponda nchi yake kwa kila kitu hadi kwenye threads za ndani,sijui tatizo ni nini?
Yani twitter wanalia hawa jamaa wanawivu bro acha kabisa wana roho mbaya ya ajabu yani rostam amekua gumzo kenya nzima mpaka kwa watoto wanaozaliwa sasa hvi😆😆😆😆😆😆😆😆
True storyUsipende ku comment kama hujui vitu vizuri. Tanzania hatuzalishi LPG. LPG inaagizwa toka nje inakuwa stored and distribute nchini kote.
Tatizo linaonekana waziwazi, mtu haitaji darubiniHuyo ni kijana wa sumbawanga,sio mzalendo wa nchi yake hata kidogo anaiponda nchi yake kwa kila kitu hadi kwenye threads za ndani,sijui tatizo ni nini?
Mm nimecheka Hilo basi lililopita hapo 🤣🤣 alafu hapo ni NairobiHahahaha, wakenya bwana
https://www.facebook.com/[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa hawana uelewa wa hii sector Kenya haina nafasi kwenye gesi na mafuta ukanda huu! Ngoja EACOP ikamilike! hata ile pipleine yao ya Mombasa-Eldoret itakuwa rendered useless! Ruto anajaribu kuipa kazi ya kusafirisha gesi!Wamebana weee mwisho wa siku wameachia na ukuta wataanza kuruka
Nahii ambayo inajengwa haijakamilika itaitwaje sasa 👇👇👇👇👇State House Nairobi
View attachment 2529978
Kidogo naona uko misinformed, unless ulimaanisha tzsh na pia hio ni too much.
Kama unaongelea kenya shillings then hauna habari
This one is in a gated community goes for ksh 50m
onyesha barabara ya kufika hiyo nyumba! Kama si ya vumbi!
Juu hass ni kampuni ya tanzania ama?Umesahau lake oil ameekeza kwa kununua depot na vituo vya mafuta hashi kenya nzima [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na hatupigi kelele humu ndani na bado kuna matajiri kama oil com wana depot na vituo vya mafuta kenya hususan nairobi mombasa and kisumu
kwani hujui? Lake oil bought Hashi Energy (not Haas) in 2017Juu hass ni kampuni ya tanzania ama?
Hii Hass Petroleum ambayo inamiliki vituo vitano (kwa mujibu wa website yao) kati ya vituo 2032 Tanzania nzima ndo mnaipigia kelele?Juu hass ni kampuni ya tanzania ama?
Mm naongea nn na ww unaongea nn 😆😆Juu hass ni kampuni ya tanzania ama?
Pigeni rangi kwenye topu rufu yenu huoni imepauka na kuonyesha uchafu? State house inakuwa na mabaka baka kwasababu ya kupauka [emoji2955][emoji52][emoji58][emoji849][emoji848][emoji848]State House Nairobi
View attachment 2529978
Tanzania airports 21 kenya 19 na bado tunajenga Msalato.KQ Vs ATLC😂😂😂 surely,mnatoa wapi nguvu ya kujilinganisha
View attachment 2530634View attachment 2530635
Jamaa mjanja katumia lugha rahisi ili afanye biashara pasipo na usumbufu, ameipamba Kenya ili apate soko.Unajua kwamba Kenya ndo wanaongoza kwa remittances na Business ya Nala Money ni remittance based , sasa kama kenya wanapata Remittance kubwa kuliko tourism at 4Bn usd last year while tourism kwao ni 2.1bn usd (2022)hauoni kama Nala money wana take adavantage of that ?
Sisi Tz Remittance last year ni 500mil usd
Sababu za Remittance kuwa ndogo ni Tz
1. Kenya wanaruhusu Dual Citizenship Tz hairuhusu
2.Wakenya wako nje wengi kuliko wa Tz
Issue sio hio kwamba angeweka HQ Tz cause hamna Tech, ki Techonoligia aseme Tech gani kaikosa Tz na ameifwata Kenya , its is purely business reason , kama Business Ya remittances ingekuwa kubwa Tz na anaona tuna lack Tech angeiweka Tz na Ku employ Kenyans if he thinks that way.
But i think Nala is in Kenya cause Kenya gets 8x remittances Than Tanzania
NairobiWalker