Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

who owns wewe itakusaidia nn? ikiwa plant iko mombasa kenya na imeajiri wakenya na wanalipa kodi na bado wanatuuzia sisi magari
alafu vp ulisema tunategemea gold kufanya export vp tuonyeshe trade data ya gold tunayofanya na kenya 😂😂😂 btw si unajikuta mzee wa black and white kwann unakwepa ili swali, unaogopa nn 😂😂
 
who owns wewe itakusaidia nn? ikiwa plant iko mombasa kenya na imeajiri wakenya na wanalipa kodi na bado wanatuuzia sisi magari
icho girl tunakusubiria utuambie lini tanzania na kenya wameanza kuuziana gold, usiogope ulitamka mwenyewe ukiwa unajiona mjuaji 😂 😂 😂 😂
 
Make sure you get good glass buildings, tunataka mtu akitoka morogoro mpaka kampala anaona amaizing buildings

View: https://x.com/TheOnly_Lucky/status/2114940150505754975?s=20


Tafadhali sana uganda 😂😂 dont construct slums kama hizi, we need pure glass buildings, chonde chonde hatutak takataka kama hizi
1793096447629.png
 
kama kishoka ni kazi rasmi basi hii nchi inashida kubwa sana😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻

una export nn bro? ikiwa mpaka mchele una import from pakistan and india over 16.5m usd kwa mwaka

leo una export korosho as raw material alaf zinapelekwa india na kenya zinapita kwenye viwanda wanafanya clear packaging wanazipeleka duniani zikiwa made from their country.

what kind of goods are we exporting ikiwa toothpick tumeshindwa kuzalisha mpaka zitoke china, tuna export nn zaidi ya kuuza dhahabu mpaka za reserve? au ww hujui kama dhahabu inaisha?

ukienda supermarket zetu zimejaa bidhaa za wakenya mpaka maziwa zipo kutoka kenya, hebu funga safari hapa nenda kenya kama utakuta maziwa ya tanzania, hardly utapata azam energy na zenyewe market yake ni wala mirungu tu wachache

hizi ni bidhaa mbili tu kwa haraka nimenunua kwenye supermarket zetu and zinatoka kenya alaf ww una export nn???




View attachment 3699528View attachment 3699529
icho girl mbna kimya tena? hizo data unaleta au hauleti tujue we ni mlamba rectum wa Teargass
1793096514550.png
 
Back
Top Bottom