Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Porojo zisizo na Msingi, Mwendazake was useless na Bora kawai siti ya kuongoza malaika.

Nchi ilikuwa inaenda shimoni hii.

Just imagine mtu hajaajiri miaka 5 anasingizia kujenga Sgr sjui bwawa na blaa blaa kibao..

Kama mabwawa ,Sgr nk ndio miradi mikubwa sana how comes Sasa hivi Miradi yote inaenda , Serikali inaajiri na hakuna visingizio?

Kwani mkisema mliua uchumi na hivyo mlikuwa hamna pesa Kuna shida gani? Tutawaelewa tuu.

Vipande vyote vya Sgr Kuna Wakandarasi, Tanesco sio tuu wanajenga bwawa la Sgr Bali Kuna mamiradi mengine ya matilioni yanaendelea,Ajira Kedekede, kwenye mabarabara ndio usiseme,maji ndio kabisaa ,Afya mambo ni moto..

Huwa nacheka sana tulikuwa tunaongozwa na mtu asiyejua Uchumi ni kitu gani,looser tuu.
We jamaa unaharibu kabisa
Jaribu kutumia akili zako sawasawa, Why your blaming JPM kwa vitu hadi ambavyo hakufanya?like seriously?Hata kama alikua Mmbaya sio kwa kumuita useless...Hakua perfect na hatawahi kuja Pres perfect ila alijitahidi sana kufanya kazi zake kala kiongozi wa nchi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Seems PSV companies will adapt to electric buses very quickly
IMG_222802_14223.jpg
IMG_222808_14223.jpg
IMG_222827_14223.jpg
IMG_222816_14223.jpg
 
We jamaa unaharibu kabisa
Jaribu kutumia akili zako sawasawa, Why your blaming JPM kwa vitu hadi ambavyo hakufanya?like seriously?Hata kama alikua Mmbaya sio kwa kumuita useless...Hakua perfect na hatawahi kuja Pres perfect ila alijitahidi sana kufanya kazi zake kala kiongozi wa nchi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama vipi ambavyo nime blame hakufanya?

Hakuacha kuajiri? Nikuletee majibu ya serikali japo ya juzi bungeni?

Hakuua Kilimo? Hujaona humu India imerudia soko la mbaazi? Hadi mnapeleka wajeda kusomba korosho what happened?
Hakufukuza Watumishi wa std seven Kwa kisingizio Cha vyeti Fake? Hakufukuza Wanafunzi pale Udom waliokuwa diploma ya sayansi Kwa Ajili ya shule za sekondari?

Wewe ulikuwa Nchi ipi? Ulikuwa husikii maduka kufungwa biashara kufa? Akiwa Rais what happened Kwa National housing?

Hakutuletea retention fee na kupandisha makato ya deni la bodi ya mikopo? Samia kafuta na mambo yanaenda..

Hujamsikia Mwigulu juzi Bungeni akisema Rais Alikopa pesa za masharti ya kibiashara Kwa kile kilichoitwa Vita ya Kiuchumi? Hiyo vita saizi imekoma au?

Hakuvuruga biashara na Kenya,mahindi na parachichi zetu zikawa zinaoza?

Maripoti yote ya CAG yamejaa wizi mtupu na Chini yake miradi Mingi ilipandishwa bei na imejengwa chini ya kiwango hakuna aliyethubutu Kuhoji na walio karibu kama Hawa wanaotetea humu ndio walikuwa wanufaika ,wanatakiwa kuwa jela sio Nje.

Kwanza list ni endless Mimi Huwa sisahau na sitokuja kusahau maana tuliomfahamu Toka akiwa Waziri wa Ujenzi tulionya mapema kwamba ni disasterous kwenye Uchumi wa Nchi..
 
Yamepita na hayupo Why you cares?
Let it Go and start afresh

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Very fast, Kenya mpya is disposing all their diesel units and plans to replace them with electric units. BYD is about to eat Isuzu's big market share.
😂😂 Kwahzo gari mbili mlizoingiza juzi.? Kenyans bhana
 
Mbili zilikua za pilot phase. Sasa kazi imeanza and investors have started purchasing the buses. Next project is setting up an assembly line for electric buses at AVA Mombasa.

Image
😂😂😂😂 Mtaacha lini kujifurahisha nyie mbwa, failed state.
 
Kumbe Tanzania kwenye mambo ya ICT tuko nyuma sana?tunazidiwa hadi na waganda?
App ya Nala ina ofisi Nairobi, na wateja wake wengi ni wakenya...Guys tuache midomo tushughulikie izo fursa, hatuna technology kwasababu zipi?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Acha story za vijiweni, Technology has nothing to do Kwenye hilo, wana kesi zao na BOT, TRA & TCRA.
 
Back
Top Bottom