Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down
Njaa ndio kipimo cha kwanza cha umaskini duniani budaa huwez kua na nchi munayojinadi kwa GDP na watu wanakufa njaa kila mwaka haiwezekani 🤣🤣🤣🤣
 
Dar
20230214_195932.jpg
20230214_195943.jpg
20230214_200111.jpg
20230214_200059.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ruto anatoa nn kwenda kusaidia watu wanaokufa na njaa au anasubiri misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa na vita 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kawaida raw materials ziko na bei ya chini, hivyo Kama ninyi mko na viwanda vingi mlipaswa muwe na balance of trade kubwa kutuzidi.

Sikiliza wewe mnuka mavi wa Kiberal, tunawauzia bidhaa nyingi za viwandani kuwazidi
1)Vioo
2)Soft drinks(Azam joices & Energy), Mo Energy
3)Tooth paste(White dent)
4)Konyagi & Wines
5)Tranforma za umeme
6)Ceramics
7)Mbolea ya Minjingu
8)Karatasi
The list goes on.........
Sikiliza bongolala, the balance of trade between Kenya and Tanzania has always been in favour of Kenya. This is why when Magufuli roho chafu took over, he imposed so many trade barriers which affected Kenyan traders and goods entering your country. Hiyo roho chafu ilimfikisha hadi kuchoma vifaranga vya Kenya.

Look at these figures below. In 2020 for instance, the total value of Tanzania's exports to Kenya was valued at $243m while Kenya exported goods worth $295m the same year. During the same period, your leading export to Kenya was rice (unfinished product) while Kenya's leading export to Tanzania was soap (a finished product)

That is enough to remind you that we export more to your country than we import. Secondly, just like I said before, most of your exports to Kenya are raw materials while sisi tunawauzia mostly finished products
Screenshot_20230214-142353~2.png
 
Hata kama wameita bullet je ushaziona picha kichwa kinachovuta au ww umeona mabehewa tu 😆😆😆
Wewe unadhani bullet train ni kichwa tu! 😂😂
Bullet train is a whole package bongolala. Kichwa cha bullet train hakiwezitumika kwenye hizi mabehewa yenu
 
Wewe unadhani bullet train ni kichwa tu! 😂😂
Bullet train is a whole package bongolala. Kichwa cha bullet train hakiwezitumika kwenye hizi mabehewa yenu
Sasa ushaambiwa kuna 8 set za EMU zinakuja kutoka germany ambazo zina behewa 10 kila moja bado unataka uambiwe nn 🤣🤣🤣🤣 yani unaumia kwann sasa

Umeambiwa na nani kama kichwa cha bullet haziwez kutumika nani kakupa hzo taarifa mama ngina au???
 
Back
Top Bottom