Hahaha, wewe vipi?, bado unazungumza mambo ya zamani kabla Magufuli hajafa?, Sisi tunazungumza kuanzia 2021 hadi Leo baada ya kuondoka Magufuli, Hali hivi Sasa tunawapelekesha Sana,.
By the way "is Rice a raw materials?", Mnatengeneza nini kutokana na Mchele?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sisi tunawauzia bidhaa muhimu zenye kuokoa maisha ya watu, bidhaa zetu zikikosekana uchumi wenu unayumba, au kunaweza kutokea "Civil unrest", ninyi mnatuletea sabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]