Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are exporting mostly unfinished products bongolala. Yani mnauza raw materials. Most of your exports are cashew nuts, precious metal ores, dried legumes, raw copper and pearls.

Nitajie finished product iliyopitia kiwandani kwenye hiyo list
Kawaulize nguo walizovaa wakati wanazindua SGR yenu zilitoka wapi na kama zilikuwa unfinished products
 
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.

1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
Peleka ujinga wako Kule, hata hujui kwamba 1800s includes 1825. Jinga Sana wewe.
 
Rudi shule Kijana.
1800s = 1800 - 1809
1810s = 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

18th Century = 1701 - 1800.

Wewe ni kama hapa JF ndio the best school ushawai kanyaga. Unakuwanga dunder Sana.

View attachment 2517114
Embu elezea na hiyo pia kwa muktadha wako.
Screenshot_20230214-155945_Opera.jpg
 
Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down
Kwani ni njaa tuu? You are king of slums, corruption second after Nigeria, forgery especially economic data number one in the world.
 
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.

1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
Hiyo 1800s ni century nzima ndani yake kuna decades lakini inamaanisha years from 1800 mpaka 1899.

Wewe umekuwa ukisikia 90s 80s 70s ukafikiri s denotes decades you are very wrong na inanitia mashaka sana kuhusu quality ya elimu ya Kenya.
 
Ndio maana huwa tunasema Wabongo hawajui Kiingereza.
 
Back
Top Bottom