Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tanzanian ina rasilimali zote ila hazijaguswa bado by 90% na zingine bado hazijagunduliwa na ajabu ni kwamba tanzania watu hawafi njaa tofaut na nyinyi wenye GDP ya kupika watu wanakufa njaa yani njaa ndio dalili ya kwanza ya umaskini
