Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1800s = 1800 - 1809
Usitumie terms hujui wee fala. Naelewa hukusoma sana ila hicho ni kitu cha kawaida hata kwa watu ambao hawajasoma.
Kama 1800s =1800 - 1809 je 1810 - 1819 utaita nini au utaitofautisha vipi na 1800 -1809
 
Mwanga tower
20230214_162606.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
18th Century ni miaka 100 nyuma ya 1800.

18Century ni miaka 100 baada ya 1800 = 1800s.

Leo umejifunza jambo jipya bila malipo yoyote
Hiyo umetoa mkvndvni ama wapi?🤣🤣 Ni Kinyamwezi au Kiingereza?🤣🤣

Kukosa masomo ni shida.🤣🤣
 
1800s = 1800 - 1809
Usitumie terms hujui wee fala. Naelewa hukusoma sana ila hicho ni kitu cha kawaida hata kwa watu ambao hawajasoma.
🤣🤣🤣 Nilifuatilia huu mjadala wa bwana joto la jiwe .. huyu fala wa kikunya kumbe ni embe bovu.. 🤣🤣. Mara ya kwanza alikataa kwamba 1800s haimanishi kutoka 1800-1899 Bali ni 1800-1809 🤣🤣

Na kuna mpunga mwenzake huyu Rhaenyra Targaryen alimsapoti 🤣🤣 wote wawili wakijinasibu kwamba ni wanaakili.. elimu ya Kenya ni mbovu kabisa

Kwasisi tuliosoma history ukiweka "s" mbele ya mwaka tunaelewa hapo inazungumziwa "era" fulani, yaani kipindi chote cha miaka hiyo

Let say 1800s this means kipindi choote cha miaka ya elfu mianane hadi ukomo wake Dc 31 1899..

Alichokosea Joto ni kusema 1800s ni karne ya 18. 1800s ni karne ya 19 ..

Upande mwingine niliona bwana tuusan akimsapoti Nairobiwalker 🤣🤣🤣.. huyu tusani ni mpunga pia wa Juha .. 🤣🤣.. mtu wa Sayansi utajuaje terminologies za kihistoria.? Wacha chuki na watanzania wenzako wewe
 
Nilifuatilia huu mjadala wa bwana joto la jiwe .. huyu fala wa kikunya kumbe ni embe bovu.. . Mara ya kwanza alikataa kwamba 1800s haimanishi kutoka 1800-1899 Bali ni 1800-1809

Na kuna mpunga mwenzake huyu Rhaenyra Targaryen alimsapoti wote wawili wakijinasibu kwamba ni wanaakili.. elimu ya Kenya ni mbovu kabisa

Kwasisi tuliosoma history ukiweka "s" mbele ya mwaka tunaelewa hapo inazungumziwa "era" fulani, yaani kipindi chote cha miaka hiyo

Let say 1800s this means kipindi choote cha miaka ya elfu mianane hadi ukomo wake Dc 31 1899..

Alichokosea Joto ni kusema 1800s ni karne ya 18. 1800s ni karne ya 19 ..

Upande mwingine niliona bwana tuusan akimsapoti Nairobiwalker .. huyu tusani ni mpunga pia wa Juha .. .. mtu wa Sayansi utajuaje terminologies za kihistoria.? Wacha chuki na watanzania wenzako wewe
Chalii mind your business punga ni baba yako n ofcz You

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom