Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii story ya njaa isiwe kisingizio chenu everytime you are cornered. Kuna wengine wetu hatujui hata njaa ni nini. Inasikitisha kwamba licha ta yote mlionayo, millions of Tanzanians are still wallowing in poverty. Hiyo nchi yenu tukipewa na hizo rasilimali zote we can turn it upside down
Kwani nyie hamna rasilimali? Ardhi yenye rutuba c mmempa mzungu kapanda maua? Nyie kajamba nani mmerundikana Kibera.
 
Kawaida raw materials ziko na bei ya chini, hivyo Kama ninyi mko na viwanda vingi mlipaswa muwe na balance of trade kubwa kutuzidi.

Sikiliza wewe mnuka mavi wa Kiberal, tunawauzia bidhaa nyingi za viwandani kuwazidi
1)Vioo
2)Soft drinks(Azam joices & Energy), Mo Energy
3)Tooth paste(White dent)
4)Konyagi & Wines
5)Tranforma za umeme
6)Ceramics
7)Mbolea ya Minjingu
8)Karatasi
The list goes on.........
Mnuka mavi
 
Ngoja leo tuongelee GDP. Maana tumekuwa tukiliongelea sana suala hili


GDP=C+I+G+(X−M)
where:

C=Consumer spending on goods and services
I=Investment spending on business capital goods
G=Government spending on public goods and services
X=Exports
M=Imports

Tuanze kuongelea kitu kimoja kimoja tupate kujua je tunapoongelea GDP ya kenya tunaongelea nini?

Leo nataka tujadili suala hili na tulimalize
 
1676388762739.png
 
Back
Top Bottom