Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaacha lini kujifurahisha nyie mbwa, failed state.
Nchi isiyokuwa na direction a.k.a shit hole, wameona Tz ina BRT system wakajaribu kuiga wakajenga kituo kimoja wakaona moto mkali haiwezekani, now from no where wanakuambia wanataka electric bus wakati infrastructures za ku support hizo buses hakuna, yn na uchafu ule wa ka Nairobi plus uncivilized Kenyans hizo bus wiki moja tu zitakuwa bora hata matatu
 
Yeye ni zoa zoa huyo jamaa.. elimu yake sijajua inamsadia nini likija suala la tafakuri..

Kwenye hiyo list aliyopost, hizo tatu za juu ndo angalau ziko vizuri kwenye tech.
Halafu hivi sisi Waafrica si huwa tunatumia tech za watu weupe?

Nini tumeunda from scratch! Maana hata bidhaa mbalimbali, apps zetu ni copy za watu weupe!
 
Kwenye hiyo list aliyopost, hizo tatu za juu ndo angalau ziko vizuri kwenye tech.
Halafu hivi sisi Waafrica si huwa tunatumia tech za watu weupe?

Nini tumeunda from scratch! Maana hata bidhaa mbalimbali, apps zetu ni copy za watu weupe!
Mwanetu tumsameh tu 😂
 
Kumbe Tanzania kwenye mambo ya ICT tuko nyuma sana?tunazidiwa hadi na waganda?
App ya Nala ina ofisi Nairobi, na wateja wake wengi ni wakenya...Guys tuache midomo tushughulikie izo fursa, hatuna technology kwasababu zipi?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ebu tag geza i told him Kenyans are Nala's biggest customers akabisha
 
Kenyans Guess the location?

Image


Image


Image

Image
L.Magadi
 
Sikiliza bongolala, the balance of trade between Kenya and Tanzania has always been in favour of Kenya. This is why when Magufuli roho chafu took over, he imposed so many trade barriers which affected Kenyan traders and goods entering your country. Hiyo roho chafu ilimfikisha hadi kuchoma vifaranga vya Kenya.

Look at these figures below. In 2020 for instance, the total value of Tanzania's exports to Kenya was valued at $243m while Kenya exported goods worth $295m the same year. During the same period, your leading export to Kenya was rice (unfinished product) while Kenya's leading export to Tanzania was soap (a finished product)

That is enough to remind you that we export more to your country than we import. Secondly, just like I said before, most of your exports to Kenya are raw materials while sisi tunawauzia mostly finished products View attachment 2517607
You impose trade barriers we reciprocate thats all. So stop whining here learn to live with neighbours in good terms.
 
Back
Top Bottom