President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hilo jamaa huwa silielewi sijui ni punga au bwabwa!!!?Wacha hasira kaka 🤣🤣.. lazima nikwambie ukweli
Hilo jamaa huwa silielewi sijui ni punga au bwabwa!!!?Wacha hasira kaka 🤣🤣.. lazima nikwambie ukweli
Huwa naogopa sana kwenda Kenya kama nnavyoogopa kwenda Afghanistan.ichoboy01 wewe ndiye unayependa kwenda Kenya na kukutana na wakenya Kama marafiki, niliwahi kukuonya juu ya Hilo, wakenya ni wanyama Sana.
Hongereni Kenya kwa kubarikiwa Tribalism, corruption and NepotismHawa jamaa ni limbukeni kabisa. Hawajui kutumia walichobarikiwa nayo na Mungu. Kazi ni kelele tu
Viwanda vyetu vyote vinatumia gas na haiko calculated, I can attach this as evidence for you but you have a chance to dispute this evidence by giving yoursTanzania have more industries than Kenya?Kujiliwaza mnajua sana mibongolala.
Itakuwaje mko na more industries kutuzidi wakati power (electricity) demand and consumption ya Kenya iko juu kuzidi yenu? Ama viwanda vyenu vinatumia kuni kuendeshwa?


So unajifanya hujui kwamba EMU zitakuja ama!!!Fuatilia thread. Wenzako wameiita bullet train a few pages back
Tunaanza mdogo mdogo tu. Watajikuta hao wakenya wamebaki kama South Sudan ya sasa.
Wewe wacha kuongeza chumvi na pilipili, kilaza mwenzako joto la jiwe amesema hivi.🤣🤣🤣 Nilifuatilia huu mjadala wa bwana joto la jiwe .. huyu fala wa kikunya kumbe ni embe bovu.. 🤣🤣. Mara ya kwanza alikataa kwamba 1800s haimanishi kutoka 1800-1899 Bali ni 1800-1809 🤣🤣
Na kuna mpunga mwenzake huyu Rhaenyra Targaryen alimsapoti 🤣🤣 wote wawili wakijinasibu kwamba ni wanaakili.. elimu ya Kenya ni mbovu kabisa
Kwasisi tuliosoma history ukiweka "s" mbele ya mwaka tunaelewa hapo inazungumziwa "era" fulani, yaani kipindi chote cha miaka hiyo
Let say 1800s this means kipindi choote cha miaka ya elfu mianane hadi ukomo wake Dc 31 1899..
Alichokosea Joto ni kusema 1800s ni karne ya 18. 1800s ni karne ya 19 ..
Upande mwingine niliona bwana tuusan akimsapoti Nairobiwalker 🤣🤣🤣.. huyu tusani ni mpunga pia wa Juha .. 🤣🤣.. mtu wa Sayansi utajuaje terminologies za kihistoria.? Wacha chuki na watanzania wenzako wewe
🤣🤣🤣🤣 Kwahyo umebadilisha hata mada ya msimgi.? 🤣🤣🤣.. aahh kmmmk nimekushindwa tabia 🙌🙌Wewe wacha kuongeza chumvi na pilipili, kilaza mwenzako joto la jiwe amesema hivi.
18Century = 1800 - 1899 na amekwamilia hilo. Wacha kugeuza mambo visivyo ni hicho kiingereza chenu kibovu.
Hizo ni takwimu za mwaka majuzi mzee na unaweza kuona export na import ni almost the same, unlike yours in which import number doubles your export number, and I bet now your import is as triple as your export number.You are just proving my point bongolala albeit unknowingly. Your import value is more than your export value. Hapo sasa ni uchumi gani mumejenga?
Nimekuuliza swali umeacha kwenda Giraffe Manor?Wewe wacha kuongeza chumvi na pilipili, kilaza mwenzako joto la jiwe amesema hivi.
18Century = 1800 - 1899 na amekwamilia hilo. Wacha kugeuza mambo visivyo ni hicho kiingereza chenu kibovu.
Mbona kwenye hii picha hakuna eneo linaloonekana kama kuna ujenzi ulioanza.? 🤣🤣 Au umeandika tu kujifurahisha.?
Wewe ndiwe unajaribu kubadilisha. Mwenzako amesema kuna tofauti ya 18th Century na 18Century na kwamba 18Century ni 1800 - 1899. Alafu 1800s ni 18Century. Mbona basi useme yeye kakosea ilhali mwenyewe ameshikilia yupo sahihi? 🤣🤣🤣🤣🤣 Kwahyo umebadilisha hata mada ya msimgi.? 🤣🤣🤣.. aahh kmmmk nimekushindwa tabia 🙌🙌
We jamaa hautakubali kushindwa ..🤣🤣🤣. NimekupuuzaWewe ndiwe unajaribu kubadilisha. Mwenzako amesema kuna tofauti ya 18th Century na 18Century na kwamba 18Century ni 1800 - 1899. Alafu 1800s ni 18Century. Mbona basi useme yeye kakosea ilhali mwenyewe ameshikilia yupo sahihi? 🤣
Kununua vitu zaidi ya unavyouza kwa mliosoma Uchumi imekaaje?
Mbona mzee hutaki kunijibu au nikufuate PM. Siku hizi huendi Giraffe Manor?Wewe ndiwe unajaribu kubadilisha. Mwenzako amesema kuna tofauti ya 18th Century na 18Century na kwamba 18Century ni 1800 - 1899. Alafu 1800s ni 18Century. Mbona basi useme yeye kakosea ilhali mwenyewe ameshikilia yupo sahihi? 🤣
Ni KES 109k per night. Yani Tsh 2.03M per night. Hivi unaweza afford hapo ukijiangalia?Nimekuuliza swali umeacha kwenda Giraffe Manor?