Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vijana wa kitanzania ni waaminifu sana kama mali si yake atakwambia si yangu,pia the look tu inaonyesha wako sawa kwenu maisha ni magumu sana kutoboa ni 10/90 wakati bongo ni 50/50. Just face facts.
Sawa bongolala umeshinda
 
Mnatutegemea kwa kila kitu no wonder we export more than you because we also have many industries than you.
Tanzania have more industries than Kenya? 😂😂😂😂 Kujiliwaza mnajua sana mibongolala.

Itakuwaje mko na more industries kutuzidi wakati power (electricity) demand and consumption ya Kenya iko juu kuzidi yenu? Ama viwanda vyenu vinatumia kuni kuendeshwa?
 
Kuna viwanda vinatumia gas au hilo hulijui pia 😆
 
Tofauti kati ya 1800s na 1825 ni nini?. Tatizo wakenya hamna akili lakini hamjui kwamba hamna akili. Hiyo "s" hapo kwenye 1800s unadhani ni "typing error?
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
1800s = 1800 - 1809
Usitumie terms hujui wee fala. Naelewa hukusoma sana ila hicho ni kitu cha kawaida hata kwa watu ambao hawajasoma.
 
Msingi ni huu

1. Tanzania feeds Kenya
2. Tanzania supplies fertiliser to Kenya
3. Tanzania supplies gas to Kenya
4 Tanzanian sells ceramics to Kenya
5. Tanzania maintains positive exports balance with Kenya
Is that how you taught in school on how an economy is built? Kwamba Mkituuzia vitu fulani sasa economy yenu ni bora?

Do you know something called bilateral trade? Ama unataka nami pia nianze kututajia vitu Kenya huuzia Tanzania? Bongolala, kuna vitu mnauzia hata USA. Inamaanisha sasa mpo vizuri kiuchumi kuzidi America just because you sell a few stuff to them? Mibongolaa ni mibongolala tu!!
 
Aliekwambia hio ni bullet imeletwa nani tena hio ni third class amabyo hata 1st class yenu haiwezi kutoboa 😆😆 tatizo lenu munajipa pressure bure kuna EMU zitaingia mwezi wa sita au wa saba kutoka germany hii thread mutaiona chungu
Fuatilia thread. Wenzako wameiita bullet train a few pages back
 
Ujinga ndio umekuganda kwenye kichwa mukidhani ni tz ya 90s mambo yashabadilika na nyinyi badilikeni 😆😆 ila ukweli utaongea tu
Tanzania bado ni ile ile tu bongolala. Nchi yenye rasilimali karibia zote but still wallowing in poverty.
 
Tanzania have more industries than Kenya? Kujiliwaza mnajua sana mibongolala.

Itakuwaje mko na more industries kutuzidi wakati power (electricity) demand and consumption ya Kenya iko juu kuzidi yenu? Ama viwanda vyenu vinatumia kuni kuendeshwa?
Kama mpo na viwanda vingi kutuzidi, iweje sisi exports zetu ziwe nyingi kuwazidi na imports zetu ziwe kidogo?.

Iweje balance of trade kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuwa kubwa kwa Tanzania, na nchi zote za Afrika?.

Katika nchi zote za Afrika zinazofanya biashara na Tanzania, balance of trades favors Tanzania
 
Tanzania bado ni ile ile tu bongolala. Nchi yenye rasilimali karibia zote but still wallowing in poverty.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tanzanian ina rasilimali zote ila hazijaguswa bado by 90% na zingine bado hazijagunduliwa na ajabu ni kwamba tanzania watu hawafi njaa tofaut na nyinyi wenye GDP ya kupika watu wanakufa njaa yani njaa ndio dalili ya kwanza ya umaskini
 
Kama mpo na viwanda vingi kutuzidi, iweje sisi exports zetu ziwe nyingi kuwazidi na imports zetu ziwe kidogo?.

Iweje balance of trade kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuwa kubwa kwa Tanzania, na nchi zote za Afrika?.

Katika nchi zote za Afrika zinazofanya biashara na Tanzania, balance of trades favors Tanzania
You are exporting mostly unfinished products bongolala. Yani mnauza raw materials. Most of your exports are cashew nuts, precious metal ores, dried legumes, raw copper and pearls.

Nitajie finished product iliyopitia kiwandani kwenye hiyo list
 
Back
Top Bottom