Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan hata mimi nilikua na false ideas mingi tu kuhusu dunia ya uchina but nilivyooanza kumfuatilia huyu kijana Jason, nikajifunza kuwa ipo haja ya kufuatilia what's really going on in china, and I now realized that china is a true superpower na fursa zote zipo ndani ya uchina. Mchizi Jason baada ya kutoa elimu kwa watu wengi mara kadhaa kupitia YouTube .. BBC & CNN wakamshtumu ya kwamba analipwa na CCP kufanya anachokifanya.. toa ujinga kidogo hapa 👇 .
 
Nimekuelewa kaka.Ahsante sana.Kumbe kama nchi yao yote ingekuwa inakalika bila shida wangekuwa mbali sana kwenye kilimo,mining,makazi maana wangeweza kufanya miradi mikubwa pasipo kujibana.
 
Hatuna uwezo wa kununua magari ila Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania na zote ni za watanzania
Mmeona walivyo vichwa maji? Anarudisha tena ubishani tulioumaliza since 2020, tuliwapiga kipigo kitakatifu kuhusu magari.
 
Acha kua mjinga kijana unaijua PARIS wewe[emoji3] Miji mizuri yote iko ulaya kwa kila kitu

Watu wote dunian sio wachina,japani,Africa n.k wanapenda kwenda kutalii miji ya ulaya usidanganywe na maskyscrapers ya vioo architectures zipo ulaya kwanzia karne ya 16+ uko

Unajua kwa nini miji mingi mingi ya Asia hata China wamefail kuicopy miji mingi ya ulaya[emoji1]
 
TOKYO, JAPAN. A city with the biggest GDP, most populated, and largest on earth.
"na inatoshea kwa picha moja [emoji1787] [emoji1787] "
Ikiwekwa picha ya umbali huu Kenya inaonekana yote, chongchung anayo ngoja akuwekee ucheke, mind you ile picha haikuwa ya umbali huu but ikaonesha ka Nairobi kote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
China haina technologies [emoji1][emoji1] unapozungumzia technology kuna wanaume hapo kama GERMANY, JAPANI,UK na USA
 
Kuna kijana mtanzania yupo China anatengeneza vifaa vya KodTec. Anauza sana kwa sasa hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…