Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

China hakuna cha maana we hujiulizi kwann wachina wenyewe wanapenda kwenda kuishi Europe na America

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ngoja nianze kufanya utafiti wale waliokwenda China kusoma au kutafuta maisha wakarudi na wale wa Europe na US wapi wana maisha mazuri.

Swali la kizushi, hivi kuna mtu hana dreams za kwenda kuishi au kutembea US?
 
The bitter truth
1675251131029.jpeg
 
Bora niko hai sio kama magu
Umeshajifunza kiswahili sasa?

Magu kafa kaacha estate yake na familia ikiwa bora sana na pia ame achieve objectives nyingi sana kwa maisha yake mafupi aliyoishi sasa wewe na uhai wako ulionao una nini cha kujivunia.
 
umejiuliza hilo swali kwanza?
 
Ingekuwa serikali haikukamati na kukufunga miaka 30 kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi wala wasingekuwa wanakimbia, wangekuwa wanalea na majukumu yangepungua.

Hiyo sheria ya miaka 30 ina mapungufu makubwa sana.
Waliona kama vile itasaidia lakini kumbe inaleta mzigo kwa mzazi wa binti, ni mara chache sana kuleta mtoto kwao na kijana aliyemtwisha mimba binti.

Serikali ifanyeje hapa sasa, itengue hii sheria au kuwepo na kubargain kuhusu mimba?

Miaka 10 ijayo tutakuwa na watoto wengi wa mitaani kwasababu wazazi wamekimbia mimba, wamefukuzwa kwao, wametelekeza watoto mitaani.
 
Hiyo sheria haisaidii chochote zaidi ya kumnyima mtoto haki za msingi.

Futa sheria ya adhabu miaka 30.
Fanya uchunguzi, kama alibaka mbakaji ahasiwe ila kama walikubaliana wenyewe kukulana basi iweke adhabu ndogo.
 
Hapa sijaelewa vizuri. Ardhi ya China ina shida kuilima au imepangiwa matumizi mengine nje ya kilimo?

hu.png

Kuna kitu kinaitwa Hu line hii ni imaginary line inayoonesha chinese population distribution (94% wanaishi mashariki). Hawa watu hawakulazimishwa na serikali kukaa kwenye 43% ya ardhi bali jiografia ndiyo iliyowalazimisha.

Upande wa magharibi mwa hu line kuna bad terrain (milima na mabonde) pia ni baridi sana na hivyo kwa miaka elfu na elfu wachina walikuwa wakiyakimbia maeneo hayo.
 
China hakuna cha maana we hujiulizi kwann wachina wenyewe wanapenda kwenda kuishi Europe na America

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We jamaa usiongolee vitu usivyovijua .. zipo evidence kibao za vijana wa kiwest kukimbilia China+ kampuni kubwa za west ku shisft their capitals to china. Hapa issue ni kwamba there is no way you can live or work in china illegally.. China is future. Usidanganye watu.. mtu mweusi unataka kuishi kimagumashi halaf ikishindikana eti useme china hakuna fursa 🤣🤣 huo ni upumbavu wa kiwango cha lami
 
Evidence please

Magufuli aliomba mkopo Turkey na BRICS kujenga SGR na kote huko alikosa, aliomba msaada wa kujenga stadium Dodoma toka kwa mfalme wa Morocco, aliahidiwa $100M, lakini hakupewa hata $1, serikali imeamua kujenga kwa kutumia pesa ya ndani
What more evidence do you need than these reports?

And if those are not enough, below is an excerpt from one of reports I have shared quoting your president
Screenshot_20230201-145349~2.png
 
What more evidence do you need than these reports?

And if those are not enough, below is an excerpt from one of reports I have shared quoting your president View attachment 2502528
Kwahyo kwenye hizi post zako, ni sehemu gani imeandikwa ituruki imetoa mkopo kujenga SGR yetu.?
 
Point yangu nasema sio Sifa...huwezi mtu ukajisifia kuwa na traffic jam ya hivyo vihiace mjini?...

Wenzenu london na New York mnaoabudu wana options nyingi za kusafiri mjini sio lazima utumia gari lako kumove...wana usafiri wa umma mzr tu...

Kitu ambacho Nairobi itachukua miaka mingi kufikia...traffic Nairobi ni umaskini tu hakuna kingine
Traffic ya Dar nayo ni utajiri? 😂😂 Mibongolala kwa kujiliwaza hamjambo!
 
Back
Top Bottom