Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haina maajabu yoyote Tokyo compared to modern cities like, Shengzhen, Chongqing, Guangzhou, Chengdu n.k likija suala la infrastructure+ beautiness.. au unaweza kuitetea .?

Sasa hapo unakuwa general sana, unawezakuwa unaona skyscrapers as the sign of development au maajabu au unyama sana kwako which is okay,
Ila sio kila mtu anaona hivyo,
Kumbuka kuna miji mingi mizuri kuliko hiyo ya uchina na haina skyscrapers,
Mfano hiyo miji yote umetaja sioni kama kuna mji unafikia Paris kwa Uzuri in all aspects, na Paris haina skyscrapers, na Huwezi sema Paris ni Mji wa kizamani kisa hauna skyscrapers, despite the fact that majumba mengi ya Paris au London au Berlin yamejengwa karne za 16 hadi ya 20,
In general Miji ya ulaya haitaki kujenga hayo majengo marefu, they prefer to keep their heritage, na bado imebaki ni mizuri na ya kisasa na inayoenda na muda.
So is Tokyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] So poa .. hakuna taifa lenye liko mbele ya china kwenye hii dunia tunayoishi kaka.. si America sio wapi

When it comes to Technology mkuu achana na Japan , hata US bado inaweza kalishwa na Japan, China wamefanya mengi recently, but bado watoto wadogo, haya mambo ya technology yana wakongwe wake ambao wameanza kitambo.
The likes of Germany. Nawakubali sana Germans . Hutasikia kelele huko, ila kitu unakiona leo China au Korea au Brazil hawa Mbwa wamekifanya 1970.
 
We've been hearing the tunes of this song for the last two decades

You may hear it for another decade, that doesn’t mean you are not going to be overtaken, that’s how things work, fuatilia historia ya namna hizi nchi za Tz na Kundustan zimekuwa zikiovertekiana kwenye chumi zao tangu miaka ya 1960’s
But this time is different , mna hali mbaya, mmefika mwisho, mmeumaliza mwendo, and this is because Kenya has no potentials, Tz has unlimited potentials.
 
Sasa hapo unakuwa general sana, unawezakuwa unaona skyscrapers as the sign of development au maajabu au unyama sana kwako which is okay,
Ila sio kila mtu anaona hivyo,
Kumbuka kuna miji mingi mizuri kuliko hiyo ya uchina na haina skyscrapers,
Mfano hiyo miji yote umetaja sioni kama kuna mji unafikia Paris kwa Uzuri in all aspects, na Paris haina skyscrapers, na Huwezi sema Paris ni Mji wa kizamani kisa hauna skyscrapers, despite the fact that majumba mengi ya Paris au London au Berlin yamejengwa karne za 16 hadi ya 20,
In general Miji ya ulaya haitaki kujenga hayo majengo marefu, they prefer to keep their heritage, na bado imebaki ni mizuri na ya kisasa na inayoenda na muda.
So is Tokyo.
There are 200+ copy cut cities in china pamoja na hiyo Paris+London+Manhattan .. kwahyo china huwezi shindana nayo kwasababu they also do have replicas of those beautiful cities in Europe u mentioned.. 👇. Halafu kando na hizi ndio utaje sasa zile big fishes zao. tuusan
 
Duuh yn nyie mna concrete kuliko Dar?
Wewe ukiona Dar imeshinda Nairobi ni sawa pia swali je wewe unatengeneza shingi ngapi hapo Dar na Nairobi , dollars za Dar hizi [emoji23] Dar kuna hela , Nairobi kuna hela msidanganyane
20230131_134849.jpg
 
When it comes to Technology mkuu achana na Japan , hata US bado inaweza kalishwa na Japan, China wamefanya mengi recently, but bado watoto wadogo, haya mambo ya technology yana wakongwe wake ambao wameanza kitambo.
The likes of Germany. Nawakubali sana Germans . Hutasikia kelele huko, ila kitu unakiona leo China au Japana hawa Mbwa wamekifanya 1970.
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners 👇.
 
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners [emoji116].

Sasa kama China ina Copy ulaya na Marekani unadhani nani ni zaidi hapo,
Yaani mwanafunzi amzidi mwalimu wake ?
 
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners [emoji116].

Huwezi fananisha US na China. Acha ujinga. Unanipotezea Muda.
 
Wewe ukiona Dar imeshinda Nairobi ni sawa pia swali je wewe unatengeneza shingi ngapi hapo Dar na Nairobi , dollars za Dar hizi [emoji23] Dar kuna hela , Nairobi kuna hela msidanganyaneView attachment 2501373
Siku zote hizo usipost upost leo, au ndio umevizia utumwe pesa za ofisi uje upost humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila hongera umejaribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku zote hizo usipost upost leo, au ndio umevizia utumwe pesa za ofisi uje upost humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila hongera umejaribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] si nimesema ni za ofisi yangu hapo Dar, zimetoka kwa ofisi zinaigia kwa mfuko kazi ya siku moja tu.Asante usisahau hapa ni utani tu[emoji23][emoji23] mimi bila Tanzania sijui nitaishi aje[emoji23] monopoly
 
Nakumbuka miaka kadhaa ya nyuma baada ya kumaliza chuo mimi nikaanza career, kuna rafiki yangu akaona atimkie China akafanye Masters huko, akakaa huko miaka miwili, alivyorudi miaka miwili baadae mimi ndio nlimpokea tukawa wote magetoni hadi alivyopata ramani akasepa,
But jamaa hadi leo humwambii kitu kuhusu China, yaani dunia yote ni takataka mbele ya China
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Najaribu kumwelewa huyu mwamba humu , huenda ameendaenda China na hajaenda miji mingine ya duniani.. au hajafanya research ya kutosha.
Hii ni mbaya sana
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Jamaa anafika mahala anachukulia powa miji mikubwa yenye heshima kama Tokyo sababu ya maghorofa marefu ya kwenye miji mipya ya uchina
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Thought Hatukatai namna China ilivyofanya kupindua meza kwa muda mfupi sana.
🤣🤣🤣 Bro inawezekana labda huenda tokyo iko vizur, lakini sio kuzidi miji ya china bhana.. heb ona 👇 Tokyo
tokio-u-naszych-stop.jpg
slika_new_2-2.png
kwa standards za miji kama Shengzhen au hata Chengdu, hii Tokyo inaonekana ni unplanned au disorganized city.. 👇 Chengdu
chengdu_china_16409647614057.jpg
chengdu_china_1640964847410592.jpg
chengdu_china_1640964944432391.jpg
chengdu_china_1640961499026810.jpg
chengdu_china_1640961499026532.jpg
chengdu_china_1640963407471754.jpg
chengdu_china_16409635102032.jpg
chengdu_china_1641283365594350.jpg
chengdu_china_1640964797462194.jpg
heb pata picha. Cheki hiyo planning ya hii city+greenery+modernity+massive buildings+clean streets.. yo Tokyo ni joke kwa cities za china.. hapo hiyo ni Chengdu tu..
 
Back
Top Bottom