Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kua mjinga kijana unaijua PARIS wewe[emoji3] Miji mizuri yote iko ulaya kwa kila kitu

Watu wote dunian sio wachina,japani,Africa n.k wanapenda kwenda kutalii miji ya ulaya usidanganywe na maskyscrapers ya vioo architectures zipo ulaya kwanzia karne ya 16+ uko

Unajua kwa nini miji mingi mingi ya Asia hata China wamefail kuicopy miji mingi ya ulaya[emoji1]
🚮
 
Red Hill Road, Nairobi
1675255859863.jpeg

1675255896717.jpeg
 
Watu tunaoishi vijijini leo tumekumbukwa.

Kwanza kuna hewa safi, eneo kubwa la nyumba, vyakula ni fresh kabisa (mfano samaki anatolewa kwenye maji bado anacheza cheza huku nyinyi mnakula wa kwenye mabarafu wana zaidi ya mwezi 1.

Matunda ya kila aina unapata. Ila inategemea ni nchi gani kwa Tanzania karibu nchi nzima vyakula vyote unavipata.

Tunakunywa springs water.

Ila wakuu tusiache kulima na kufuga baadaye itakuwa deal sana, kama mtu huna shughuli nyingi town za kukulazimu uzisimamie angalieni na upande mwingine wa kilimo.

Babu zangu wote walikuwa wakulima na wafugaji sikuwahi kuwaona wanalia shida ya mahitaji mpaka wanakufa waliacha akiba ya pesa kwa watoto wao. Baba zangu waliokuwa wafanyakazi ni vichekesho vitupu.

Tuandae maisha ya uzeeni tukiwa vijana, umri unaenda na nguvu zinaisha.
Nimesikitika sana kukosa kufanya application ya Block Farming ya Mradi wa BBT mpaka jana kumbe muda umeisha, ila poa ntajipanga kivingine.

Umesema vizuri sana, kilimo na ufugaji ndio future, mi nilianza tu kiutani utani urban gardening kwenye eneo la nyumba yangu leo nina miti aina kumi za matunda na sinunui mbogamboga. Tupambane kwenye kilimo, hizi progress tunatamba nazo bila chakula ni upumbavu tu kama wenzetu hawa wanaolilia ugali kila siku huku ardhi wamepanda maua.
 
Unahangaika sana. Shenzhen 100% public transport ni Electric. Hebu tuambie huko ulaya mji gani upo kama Shenzhen?
Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile

Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
view-over-north-london-from-alexandra-palace-park-DCHKR3.jpg
view-south-towards-croydon-from-pollards-hill-norbury-london-AWJWGP.jpg
hot-air-balloon-g-bkmv-flying-over-london-suburbs-B7ME8N.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile

Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612

Ok kwahiyo China hizi hawana? Basi watakuwa wamepigwa bao hapo, ila ngj nimuite Sama boy 255 aje atoe ushuhuda kama kweli hazipo, na akiwajibu tukagundua kwamba zipo mkae kwa kutulia na mkubali kwamba China haiwezekani mana kuna ambavyo vipo China ulaya na Marekani hakuna ila hakuna kitu kipo ulaya na Marekani kikakosa kuwepo China.
 
Kaswali kangu bado mnakakwepa sijajua eidha mnakaogopa au hamjui!
1. Ni kitu gani miji ya Ulaya imezidi Shenzhen?

2. Shenzhen 100% public transport ni electric je mji gani ulaya upo hivyo?
 
Hakuna matajiri wanaishi kwenye maskyscrapers ya vioo.... wachina wote wanandoto za kiushi Europe [emoji1][emoji1]

Barcelona, Spain....... nguvu ya per capita income View attachment 2502565
Ila wenzetu wameendelea bhn hebu angalia gated community hiyo kwa ukubwa wake, sipati picha kuna ka shit hole [emoji2734] fulani kangekuwa na japo nusu ya hzo classic gated community vile shit holian wangepiga kelele za dunia [emoji116][emoji116]
tapatalk_608393004_360x450.jpg
Screenshot_20230201-170825.jpg
 
Ok kwahiyo China hizi hawana? Basi watakuwa wamepigwa bao hapo, ila ngj nimuite Sama boy 255 aje atoe ushuhuda kama kweli hazipo, na akiwajibu tukagundua kwamba zipo mkae kwa kutulia na mkubali kwamba China haiwezekani mana kuna ambavyo vipo China ulaya na Marekani hakuna ila hakuna kitu kipo ulaya na Marekani kikakosa kuwepo China.
Wewe hua unapenda kubishana ili ushinde sindio?haya umeshinda

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ulaya walishaendelea zamani hizo,shenzhen ni miji inayochipukia haviwezi kufanana...shenzhen kama majiji mengi yanayochipukia lazima uwe tofauti kabisa na miji ambayo ilishaendelea kama London ama Paris.
Na ukiangalia wachina wanacopy style ya USA maana kule ndio wanahizo skyscrapers tangu mwanzo mwa miaka ya 1900s...
Kama wewe unapenda skyscrapers utaona China imeendelea lakini kama unapenda architecture hutashuka kivile

Angalia mfano hizi Suburbs za London Tangu miaka ya 1930s hapa
View attachment 2502609View attachment 2502610View attachment 2502612

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watu kwenye mitandao wanasema hivi:-
Screenshot_20230201-171145.png
 
Back
Top Bottom