Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chanzo ni kipi cha hii taarifa?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
1675253537230.jpeg
 
tuusan hata mimi nilikua na false ideas mingi tu kuhusu dunia ya uchina but nilivyooanza kumfuatilia huyu kijana Jason, nikajifunza kuwa ipo haja ya kufuatilia what's really going on in china, and I now realized that china is a true superpower na fursa zote zipo ndani ya uchina. Mchizi Jason baada ya kutoa elimu kwa watu wengi mara kadhaa kupitia YouTube .. BBC & CNN wakamshtumu ya kwamba analipwa na CCP kufanya anachokifanya.. toa ujinga kidogo hapa 👇.
 
View attachment 2502520
Kuna kitu kinaitwa Hu line hii ni imaginary line inayoonesha chinese population distribution (94% wanaishi mashariki). Hawa watu hawakulazimishwa na serikali kukaa kwenye 43% ya ardhi bali jiografia ndiyo iliyowalazimisha.

Upande wa magharibi mwa hu line kuna bad terrain (milima na mabonde) pia ni baridi sana na hivyo kwa miaka elfu na elfu wachina walikuwa wakiyakimbia maeneo hayo.
Nimekuelewa kaka.Ahsante sana.Kumbe kama nchi yao yote ingekuwa inakalika bila shida wangekuwa mbali sana kwenye kilimo,mining,makazi maana wangeweza kufanya miradi mikubwa pasipo kujibana.
 
Hatuna uwezo wa kununua magari ila Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania na zote ni za watanzania
Mmeona walivyo vichwa maji? Anarudisha tena ubishani tulioumaliza since 2020, tuliwapiga kipigo kitakatifu kuhusu magari.
 
There are 200+ copy cut cities in china pamoja na hiyo Paris+London+Manhattan .. kwahyo china huwezi shindana nayo kwasababu they also do have replicas of those beautiful cities in Europe u mentioned.. [emoji116]. Halafu kando na hizi ndio utaje sasa zile big fishes zao. tuusan
Acha kua mjinga kijana unaijua PARIS wewe[emoji3] Miji mizuri yote iko ulaya kwa kila kitu

Watu wote dunian sio wachina,japani,Africa n.k wanapenda kwenda kutalii miji ya ulaya usidanganywe na maskyscrapers ya vioo architectures zipo ulaya kwanzia karne ya 16+ uko

Unajua kwa nini miji mingi mingi ya Asia hata China wamefail kuicopy miji mingi ya ulaya[emoji1]
 
TOKYO, JAPAN. A city with the biggest GDP, most populated, and largest on earth.
"na inatoshea kwa picha moja [emoji1787] [emoji1787] "
326811836_913970459612123_7040477760898797758_n.jpg
Ikiwekwa picha ya umbali huu Kenya inaonekana yote, chongchung anayo ngoja akuwekee ucheke, mind you ile picha haikuwa ya umbali huu but ikaonesha ka Nairobi kote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani alieanza kitambo hawezi kuzidiwa.? China ame prove kuwa na technology kubwa in recent years.. ame develop zile technologies amezikuta na kufanya maajabu . Tunavyoongea hiv sasa ni kampuni za kichana ndio zinafanya vizur zaidi duniani.. karibu dunia yote inajengwa na wachina saivi, Latin America & Africa china tayari amesha win haya mabara .. wenyewe wanalalamika huku westerners [emoji116].
China haina technologies [emoji1][emoji1] unapozungumzia technology kuna wanaume hapo kama GERMANY, JAPANI,UK na USA
 
We jamaa usiongolee vitu usivyovijua .. zipo evidence kibao za vijana wa kiwest kukimbilia China+ kampuni kubwa za west ku shisft their capitals to china. Hapa issue ni kwamba there is no way you can live or work in china illegally.. China is future. Usidanganye watu.. mtu mweusi unataka kuishi kimagumashi halaf ikishindikana eti useme china hakuna fursa 🤣🤣 huo ni upumbavu wa kiwango cha lami
Kuna kijana mtanzania yupo China anatengeneza vifaa vya KodTec. Anauza sana kwa sasa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom