Duuh yn nyie mna concrete kuliko Dar?Huwezi compare na dar bana
Ila haina maajabu yoyote
Wewe utakua na matatizo sio madogoIla haina maajabu yoyote
Game imechange Kenya kutoka Kua 3rd largest Subsaharan africa Economy hadi kua wa5...Poleni sisi tulizoea kua 10 sasa tumepanda nafasi moja
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Uko chini nje ya SA ni Namibia na Botswana,hao Angola wanategemea wese tu zaidi uchumi wao hauko diverseNchi nyingi za SADEC zina unafuu sana Kiuchumi sema hazina makelele, Namibia, Angola, Botswana ziko vema zaidi ya nchi zote za EAC
Uko chini nje ya SA ni Namibia na Botswana,hao Angola wanategemea wese tu zaidi uchumi wao hauko diverse
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kenya ipo nafasi ya nne baada ya Nigeria, South Africa na AngolaGame imechange Kenya kutoka Kua 3rd largest Subsaharan africa Economy hadi kua wa5...Poleni sisi tulizoea kua 10 sasa tumepanda nafasi moja
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mkuu unamaanisha Tokyo haina maajabu au sijakuelewa ?
Haina maajabu yoyote Tokyo compared to modern cities like, Shengzhen, Chongqing, Guangzhou, Chengdu n.k likija suala la infrastructure+ beautiness.. au unaweza kuitetea .?
Kenya ipo nafasi ya nne baada ya Nigeria, South Africa na Angola
Angola wapo juu halafu na wanafanya makubwa Ila hawana keleleNchi nyingi za SADEC zina unafuu sana Kiuchumi sema hazina makelele, Namibia, Angola, Botswana ziko vema zaidi ya nchi zote za EAC
We've been hearing the tunes of this song for the last two decadesEthiopia and Tanzania will Replace Kunyaland,
Then Uganda will replace everyone in the region in just 10 years after they start exporting their Oil.
Ethiopia iko juu kwa sasa fuatiliaKenya ipo nafasi ya nne baada ya Nigeria, South Africa na Angola
Tokyo moja inawezana na city 50 za China combinedHaina maajabu yoyote Tokyo compared to modern cities like, Shengzhen, Chongqing, Guangzhou, Chengdu n.k likija suala la infrastructure+ beautiness.. au unaweza kuitetea .?
🤣🤣 Wacha utani wewe.. Tokyo is nothing to Chinese tier 1 cities.. bila shaka nakuhakikishiaTokyo moja inawezana na city 50 za China combined
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unatafuta company bana ukweli unaujua...Wacha utani wewe.. Tokyo is nothing to Chinese tier 1 cities.. bila shaka nakuhakikishia
🤣🤣🤣 So poa .. hakuna taifa lenye liko mbele ya china kwenye hii dunia tunayoishi kaka.. si America sio wapiUnatafuta company bana ukweli unaujua...
Wajapan wako mbele ya Dunia kwa miaka 10 tayari fuatilia mambo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app