Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
China is ahead of US in almost everythingHuwezi fananisha US na China. Acha ujinga. Unanipotezea Muda.
China is ahead of US in almost everythingHuwezi fananisha US na China. Acha ujinga. Unanipotezea Muda.
Kuna watu wakubwa na politicians wanakuja kimya kimya 😂😂
JielemisheBro inawezekana labda huenda tokyo iko vizur, lakini sio kuzidi miji ya china bhana.. heb ona
TokyoView attachment 2501378View attachment 2501379kwa standards za miji kama Shengzhen au hata Chengdu, hii Tokyo inaonekana ni unplanned au disorganized city..
ChengduView attachment 2501384View attachment 2501387View attachment 2501391View attachment 2501395View attachment 2501396View attachment 2501399View attachment 2501401View attachment 2501402View attachment 2501405heb pata picha. Cheki hiyo planning ya hii city+greenery+modernity+massive buildings+clean streets.. yo Tokyo ni joke kwa cities za china.. hapo hiyo ni Chengdu tu..
Unaweza itetea Tokyo.?
Angalia matajiri wanaishi wapi kwanzaBro inawezekana labda huenda tokyo iko vizur, lakini sio kuzidi miji ya china bhana.. heb ona
TokyoView attachment 2501378View attachment 2501379kwa standards za miji kama Shengzhen au hata Chengdu, hii Tokyo inaonekana ni unplanned au disorganized city..
ChengduView attachment 2501384View attachment 2501387View attachment 2501391View attachment 2501395View attachment 2501396View attachment 2501399View attachment 2501401View attachment 2501402View attachment 2501405heb pata picha. Cheki hiyo planning ya hii city+greenery+modernity+massive buildings+clean streets.. yo Tokyo ni joke kwa cities za china.. hapo hiyo ni Chengdu tu..
Bro inawezekana labda huenda tokyo iko vizur, lakini sio kuzidi miji ya china bhana.. heb ona
TokyoView attachment 2501378View attachment 2501379kwa standards za miji kama Shengzhen au hata Chengdu, hii Tokyo inaonekana ni unplanned au disorganized city..
ChengduView attachment 2501384View attachment 2501387View attachment 2501391View attachment 2501395View attachment 2501396View attachment 2501399View attachment 2501401View attachment 2501402View attachment 2501405heb pata picha. Cheki hiyo planning ya hii city+greenery+modernity+massive buildings+clean streets.. yo Tokyo ni joke kwa cities za china.. hapo hiyo ni Chengdu tu..
Mmh kilichokua kinakuleta Tanzania ni KQ inayojifia, anza kuaga 😂😂😂si nimesema ni za ofisi yangu hapo Dar, zimetoka kwa ofisi zinaigia kwa mfuko kazi ya siku moja tu.Asante usisahau hapa ni utani tu
mimi bila Tanzania sijui nitaishi aje
monopoly
Angalia matajiri wanaishi wapi kwanzaView attachment 2501467View attachment 2501468
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
China is ahead of US in almost everything
🤣🤣 HAWAWEZI.. hizo nchi za Kiarabu zinajitutumua kujenga vimiji kimoja kimoja.. kule UAE mji tajika ni Dubai tu, Qatar ni Doha tu, china ni nchi nzima mzee and mind you China Iko na over 600+ cities, and guess what kati ya hayo majiji 600+, majiji 100+ ar of that kind..Imekaa Poa sana, but wewe unadhani Japan au US hawawezi kuanzisha na kujenga miji mipya kama hii ya China ?
hata waarabu wanajenga, hata Egypt wameanza kujenga.
Nchi za Ulaya na Marekani that’s not their priority.
We jamaa suala sio city suala ni standard of living...wewe kama unaishi Manzese pale mahali kuchafu unaanzaje kumtambia mtu anaeishi kijijini machame huko kwenye mjumba mkali wenye kila kitu na yuko kijijini?HAWAWEZI.. hizo nchi za Kiarabu zinajitutumua kujenga vimiji kimoja kimoja.. kule UAE mji tajika ni Dubai tu, Qatar ni Doha tu, china ni nchi nzima mzee and mind you China Iko na over 600+ cities, and guess what kati ya hayo majiji 600+, majiji 100+ ar of that kind..
HAWAWEZI.. hizo nchi za Kiarabu zinajitutumua kujenga vimiji kimoja kimoja.. kule UAE mji tajika ni Dubai tu, Qatar ni Doha tu, china ni nchi nzima mzee and mind you China Iko na over 600+ cities, and guess what kati ya hayo majiji 600+, majiji 100+ ar of that kind..
South Korea wako levels kk huwezi wafananaisha na wachinaWell, let me give you simple facts ,
China GDP -$17t- Population 1.3b
US GDP $25t Population 330m
Japan GDP 5t- Population-120m
Hapo unadhani nani ni masikini?
Kama hujui China ina watu wengi sana masikini wa kutupwa vijijini, ukiona wanajenga hizi majengo marefu ni kwa ajili ya kuhudumia population kubwa waliyonayo..
Sasa unataka UAE yenye watu milioni 10 au qatar yenye watu milioni 3 wajenge majiji mengine ili akakae nani ?
Priorities,
China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
But kwa maendeleo bro i think china kwa sasa iko mbali sana na china ndio imekua kikwazo kikubwa sana kwa america kwenye maendeleo na technology wanasema kila mfalme na zama zakeWell, let me give you simple facts ,
China GDP -$17t- Population 1.3b
US GDP $25t Population 330m
Japan GDP 5t- Population-120m
Hapo unadhani nani ni masikini?
Kama hujui China ina watu wengi sana masikini wa kutupwa vijijini, ukiona wanajenga hizi majengo marefu ni kwa ajili ya kuhudumia population kubwa waliyonayo..
Sasa unataka UAE yenye watu milioni 10 au qatar yenye watu milioni 3 wajenge majiji mengine ili akakae nani ?
Priorities,
China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
Sasa umetokea wapi?Mmh kilichokua kinakuleta Tanzania ni KQ inayojifia, anza kuaga![]()