mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,517
- 5,124
Nini special na hio barabara nikuulize?Kenya nzima hakuna road ya viwango hivi, hii road inakaa USA, hapo kwenye kona wangeweka curved mirror kuepusha ajali.View attachment 2493903
Nini special na hio barabara nikuulize?Kenya nzima hakuna road ya viwango hivi, hii road inakaa USA, hapo kwenye kona wangeweka curved mirror kuepusha ajali.View attachment 2493903
Utasikia ile yenye spire [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]250 m or 60 flr ipi hyo ?
Nadhani sasa hawa wakulungwa watakua wanaona vizuri fence hapo kwe sgr na ubishi wao uishe sasa.
Wanaleta utani wanafikiri Tz ni kama Kenya huku watu wako very strict na masuala ya nchi.Hii Rift Valley Tea walisemaga ni ya nan?
Oneni mali zao zinapigwa mnada kisa hawalipi michango ya NSSF
Hapo Nairobi JKIA walinipiga hadi charger ya simu ilikuwa kwenye bag nakuja kushtukia Joburg sina charger. Wezi sana hao.Hebu weka link hapa kumnyooshe. Wao ndo wezi. Nairobi inaongiza kwa kuibiwa mizigo Africa
Na labda tuwaambie hawa wakulungwa hii barabara iko pembezoni mwa nchi kabisa.Kenya nzima hakuna road ya viwango hivi, hii road inakaa USA, hapo kwenye kona wangeweka curved mirror kuepusha ajali.View attachment 2493903
Tunajenga vituo vingi vya CNG in Tz all those cars will be using locally sourced gas in the near future.Don't you know it's a fuel guzzler? How much do you think the government spends to fue, service and maintain that vehicle per month? Akili mtu wangu.
The government can use a half the amount it spends on that expensive car if it chose to give those regional commissioners modest cars like a Volkswagen Passat, for instance.
Wewe leta ushahidi hakua[emoji16][emoji23]Hakuna ushahidi wowote mulionao kua magufuli aliletwa kenya hakuna na hakutakua nao punguzeni kiki
Sasa nyinyi wapuuzi tukiwaambia magufuli alikua amekufa mlikua mnadhani ako ofisini na mafiles, a bunch of denialism halfwits [emoji23][emoji23]Ha ha ha, wewe nyang’au bado tu unaamini Magufuli alifia huko kwenyu.
Nyang'au atabaki kuwa nyang'au.Sasa nyinyi wapuuzi tukiwaambia magufuli alikua amekufa mlikua mnadhani ako ofisini na mafiles, a bunch of denialism halfwits [emoji23][emoji23]
Wewe leta ushahidi hakua[emoji16][emoji23]
Mwenzako huyo pia aliomba ushahidi. Bahat mbaya hio comment nilifuta sababu hata mwenyewe sijui😎😄wewe nani kakuambia? 😀😀 leta evidence!
Achana nao hao.Mwenzako huyo pia aliomba ushahidi. Bahat mbaya hio comment nilifuta sababu hata mwenyewe sijui😎😄
Ukiangalia hio tar ya comment, ilikuwa ni tar 11 March 2021, na Magu alifariki tar 17 March 2021. Kipindi hiko ilikuwa haijulikan yuko wap lkn watu wachache (ndugu/familia/vitengo/TISS/viongozi wakubwa wa nchi) ndo walikuwa wanajua yuko wapi
(niongeze chumvi kujipendelea. By that time, I was among those lucky people who exactly knew where he was😄😎)
Kaumia😂,,Kili hapa Nairobi ni ya nne kwa ubora imagine, after CBD, Westlands and upper hill 🥰😍Toa uchafu wa lipstick hapa, hiyo ya Luanda ipo kama ilivyo nyie yenu matakataka, mamikojo, kinyesi vimejaa CBD. Be realistic msee.
Kwa Chato intelligence haikuwapo sio ila mahala na chuo chenye jina la baba wa Taifa!As head of state, ana info zote za ki-inteligensia so, ana sababu ya kwanini kakataa kutoa pesa.
Pia, alikataa kutoa pesa kwenye ule mradi wa NSSF Kigamboni ambo kwa sasa inasemekana hautekelezeki na serikali inataka kuupiga mnada.
Mzee ninakusihi kwa mara nyingine. Achana na Magufuli. Kama battle hii imekushinda achana nayo. Au anzisha thread ya kumtukana Magufuli. Ninakuheshimu mno. Unachoonyesha hapa ni utoto.Kwa Chato intelligence haikuwapo sio ila mahala na chuo chenye jina la baba wa Taifa!