Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 892
- 536
Dar Es Salaam.
250 m or 60 flr ipi hyo ?In Kenya we already have it
Kabla Magufuli hajafariki tayari hilo lilikua solved na ushahidi upo na WB wakaahidi kutoa huo mkopo Magufuli akiwa yupo ofisini, kikubwa kabisa hakuna sehemu Magufuli alipinga wanafunzi wajawazito wasirudi shule sababu toka uhuru walikua hawarudi kikawaida shule isipokua kupitiaLakini ninavyokumbuka mimi WB walizuia fedha za elimu kwa Tanzania baada ya Magufuli kupinga pregnant girls wasirudi shuleni na pia kuhusi ile sheria ya statistics hivyo inawezekana miradi mingi ya elimu ilisimama kwa kukosa fedha lakini Mama alikuja kuokoa jahazi kwa kulegeza msimamo na hela ikatoka.
This is my observation nothing personal and I stand to be corrected.
wakunya wana wivu na roho mbaya sana, leo naona twiter kuna mkunya mwanamziki uchwara anaichafua TANZANIA JNIA eti aliibiwa hapo vilaptop vyake? huku si kuuchafua uwanja wetu uonekane una wezi kama JKIA? wahusika wa airport wamnatakiwa wakanushe upuuzi huu mara moja! poor kenyansMakenya yamechanganyikiwa na picha za EACOP yameenda google kuangalia kama habari zina ukweli wowote wakati picha yameona![]()
Hiki chuo kilianza kisiasa zaidi, magufuli akakipiga pin na kuelekeza nguvu zake katika kuanzisha katavi campus of agriculture ya sokoine university, badala ya kuanzisha chuo kipya cha kilimoKabla Magufuli hajafariki tayari hilo lilikua solved na ushahidi upo na WB wakaahidi kutoa huo mkopo Magufuli akiwa yupo ofisini, kikubwa kabisa hakuna sehemu Magufuli alipinga wanafunzi wajawazito wasirudi shule sababu toka uhuru walikua hawarudi kikawaida shule isipokua kupitia
MEMKWA (Mpango wa Elimu Kwa waliokosa) au vocation colleges, QT na sio kukaa darasa moja na wengine kama ilivyokua ikilazimishwa.
On top of that bado huo sio ushahidi kwamba Magufuli ndio Chanzo cha ukosefu wa wanafunzi kwa miaka 13 Nyerere University
Hii MEMKWA ni kwa wanafunzi "walikosa" kuchaguliwa sekondari au "waliokosa" kwa kupata ujauzito shuleni>MEMKWA (Mpango wa Elimu Kwa waliokosa) au vocation colleges, QT na sio kukaa darasa moja na wengine kama ilivyokua ikilazimishwa.
Stretch ya barabara kutoka kivukoni hadi Kibaha ambayo ina BRT plus Highway yenye urefu 40Km Hii pekee inajibiwa na barabara gani hapo Mombasa?...
Barabara ya Kilwa nayo Ina BRT 20KMS flyovers 2
Sina haja ya kutaja barabara zingine kwanza niambie stretch ya maana hapo Mombasa ya kujibu mapigo kwanza
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Jameni
Mi naona magufuli this magufuli that iishe tujadili hoja tuHaya mambo ya Magufuli hivi Magufuli vile tuachane nayo, ukweli utabaki palepale kwamba jamaa ametupa nguvu ya kutamba humu la sivyo Wakenya walikuwa wanatupiga asubuhi kweupeee, miaka nenda rudi walikuwa wanatutukana kwamba linchi kubwa na lina kila kitu lkn mazembe ya Tz yamekaa tuu, na huo ndio ulikuwa ukweli tukubali tukatatae.
Leo hii Wakenya tumewaacha mbali kwenye maendeleo, wamebaki na paper GDP ambayo nayo tunakwenda kuifutilia mbali. Magufuli alibadilisha maandishi kuwa uhalisia, Dodoma ilikuwa kwenye makaratasi, electrifitried SGR ilikuwa kwenye makaratasi, barabara nyingi mpk za mitaani zilikuwa kwenye makaratasi, masoko, ferries, terminals, flyovers karibu vyote vilibaki kwenye makaratasi jamaa akavibadili kuwa ukweli na ilibidi wapigaji wengi wamchukie ili leo tujivunie, tutoke kwenye matusi tuliyokuwa tunastahili kutukanwa.
So tumuache apumzike kwn tumefaidi kodi za wananchi zilizotumika kumsomesha, ila kama bado kuna watu wanaendelea kumtukana hii battle itachafuka mm nawaambia mana wengine sisi akitukanwa Magufuli tunaona kama tumetukaniwa wazazi wetu, me nasema patanuka humu ndani na hii battle itaharibika kabisa.
MEMKWA haswa ni program ya utoaji wa Elimu ya msingi kwa watu wazima waliokosa nafasi wakiwa wadogo kwa sababu za aina yoyote iwe umri, ugonjwa, mimba, ulemavu, ndoa za utotoni, shinikizo la wazazi nkHii MEMKWA ni kwa wanafunzi "walikosa" kuchaguliwa sekondari au "waliokosa" kwa kupata ujauzito shuleni>
Jamaa wenu ameshangaa kuona barabara za mombasa