Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna clip ikimuonyesha JPM akikataa kutoa fedha za chuo hichi! Nitaitafuta!
As head of state, ana info zote za ki-inteligensia so, ana sababu ya kwanini kakataa kutoa pesa.

Pia, alikataa kutoa pesa kwenye ule mradi wa NSSF Kigamboni ambo kwa sasa inasemekana hautekelezeki na serikali inataka kuupiga mnada.
 
FnPs0pzagAAw135.jpeg
 
So ukimaanisha watanzania wananunua matoroli au[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna meli za magari zinashusha hapa kila baada ya siku tatu na watu wamekaa kimya sasa hvi sisi tunaelekea EC mzeee

Ni wakati mzuri na sisi tuangalie namba E imeanza lini na sasa hivi ipo wapi, Tunaweza jua nani ananunua zaidi.
 
Gari inaharibu pesa za serikali?
Don't you know it's a fuel guzzler? How much do you think the government spends to fue, service and maintain that vehicle per month? Akili mtu wangu.

The government can use a half the amount it spends on that expensive car if it chose to give those regional commissioners modest cars like a Volkswagen Passat, for instance.
 
Back
Top Bottom