Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katofauti ka kuifanya iwe mara mbili ni negligible.... na kumbuka pengo linaongezeka badala ya kupungua.
Angalia kuanzia mwaka jana 2022 hadi 2025 namna gap linapungua
Hawa ni IMF
Screenshot_20230122-133540_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-133552_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-133617_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-133632_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-134249_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-134306_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-134322_Chrome.jpg
Screenshot_20230122-134401_Chrome.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
This tiny gated community imechoka.
Gated community ya Tz ni ya gharama, no wonder Dar real estate inaizidi ka Nairobi kwa $3b, sio maneno yangu ni maneno ya World Bank na sasa najua gap litakuwa limeongezeka maradufu mana hamjengi mpya ni zile zile za mwaka 70 mnaonesha humu kila kukicha
Screenshot_20230122-140451.jpg
 
Tatizo ka Nairobi kadogo sn ndio maana imeachwa mbali na Dar kwa real estate, wanakuambia wana CBD tatu alafu wakionesha hivyo vi CBD vinaonekana vyote, yn sehemu kukiwa na vi ghorofa viwili vitatu basi kwao ni CBD tayari
 
Kilimo na ufugaji ndio kitu pekee kinachoweza kumtoa masikini kwenye umaskini,tuwekeze zaidi humo..Sioni tukichomoka kwenye umaskini bila kukomaa na shamba,tukumbuke watz wengi hawako katika ajira Rasmi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wacha ujuaji wewe nchi zilizoendelea wakulima hawazidi 100,000 ! Sasa unaamaanisha nini peasant agriculture tu inaweza kutukwamua watu zaidi ya milioni 60! Sekta zote za Huduma na uzalishaji zinahitajika as diversified economy is needed!
 
Back
Top Bottom