Wakenya bana, juzi hapa ulikua unalialia kuhusu aliyekua anawapiga kwenye maparachichi, sasa leo umeibuka na mwingine anawapiga kwenye majani chai, huu ni ujasiri ambao siuwezi mimi....jamaa majasiri balaa.
Sema huyu anayewapiga kwenye majani chai naye angejua namna ya kula na kipofu, angezuia attention kwa kulipa hao Watanzania walalahoi mafao yao, avoid attention, endelea kutafuna hilo shamba la bibi bila kusababisha makelele na matukio, angeiga namna Wahindi na Waarabu na Wachna na hata Wasouth Afrika hufanya hapo Bongo, unajichukulia kimya kimya...