Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya nzima hakuna road ya viwango hivi, hii road inakaa USA, hapo kwenye kona wangeweka curved mirror kuepusha ajali.
tapatalk_-2138956906_480x513.jpg
 
Hio forum ina watu wasioeleweka EACOP bila jiwe tungeisikia tu Nyerere hydr pia kwani wanataka nn sasa huyo ssh ana maajabu gan hadi sasa

Yani mm mtu akimsema vby JPM ananichanganya sn ata kama ni rafiki yangu naanza kumkataa pole pole akizidi ujue namkataa kabisa, hii battle ni baina ya Tz na Kenya lkn kuna Watz wana kimbele mbele kujifanya wajuaji wa kila kitu, kwani Wakenya hawana viongozi wabovu? Mbona wameachana na hayo wanaendeleza battle, watu wanakuwa kama hawajaenda shule bhn, mwishowe nitaanza kuamini ni kweli Wakenya wanatuzidi akili maana hawatoki nje ya battle, wao na nchi yao tu kwenye hii battle licha ya dhiki kubwa waliyonayo na maovu mengi wanayotendewa na viongozi wao lkn wanajua sehemu ya kuyaongelea.
 
Hvi wewe ni mwehu au 🤣🤣🤣🤣 hata sielew nini unaongea hapa
Kiingereza kigumu.
Ninschomaanisha ni kuwa:
KDK 001A Sequence ilianza September 2022.
Kuanzia KDK 001A Mpaka KDK 999A kuna magari 999. Kisha sequence ya KDK 001B inaanza mpaka KDK 999B
Kuanzia KDK 001A MPAKA KDK 999Z ni magari kama 25,000 yamekuwa registered..
Ukifuata mtindo huo na KDL 001A MPAKA KDL 600L Ni magari mengine kama 11,600. Meaning in 3and a half months wakenya binafsi wamenunua magari karibu 36,600
 
So ukimaanisha watanzania wananunua matoroli au🤣🤣🤣 kuna meli za magari zinashusha hapa kila baada ya siku tatu na watu wamekaa kimya sasa hvi sisi tunaelekea EC mzeee
 
Yani mm mtu akimsema vby JPM ananichanganya sn ata kama ni rafiki yangu naanza kumkataa pole pole akizidi ujue namkataa kabisa, hii battle ni baina ya Tz na Kenya lkn kuna Watz wana kimbele mbele kujifanya wajuaji wa kila kitu, kwani Wakenya hawana viongozi wabovu? Mbona wameachana na hayo wanaendeleza battle, watu wanakuwa kama hawajaenda shule bhn, mwishowe nitaanza kuamini ni kweli Wakenya wanatuzidi akili maana hawatoki nje ya battle, wao na nchi yao tu kwenye hii battle licha ya dhiki kubwa waliyonayo na maovu mengi wanayotendewa na viongozi wao lkn wanajua sehemu ya kuyaongelea.
Mwenyew suala la Magu siwezi kaa kimya we Sank fala
 
Back
Top Bottom