President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,068
- 93,470
Kenya ya Kenyatta. Tanzania ya watanzania
Hizi barabara ziko kwenye counties maskini kenyaNa labda tuwaambie hawa wakulungwa hii barabara iko pembezoni mwa nchi kabisa.
😂😂 Wtf!Tunajenga vituo vingi vya CNG in Tz all those cars will be using locally sourced gas in the near future.
MK254 aisee Magufuli huyu mbaya anawaonea wakenya wivu dah 😂😂😂😂😂😂
Unaandika stori ndefu sana mwanangu.Wakenya bana, juzi hapa ulikua unalialia kuhusu aliyekua anawapiga kwenye maparachichi, sasa leo umeibuka na mwingine anawapiga kwenye majani chai, huu ni ujasiri ambao siuwezi mimi....jamaa majasiri balaa.
Sema huyu anayewapiga kwenye majani chai naye angejua namna ya kula na kipofu, angezuia attention kwa kulipa hao Watanzania walalahoi mafao yao, avoid attention, endelea kutafuna hilo shamba la bibi bila kusababisha makelele na matukio, angeiga namna Wahindi na Waarabu na Wachna na hata Wasouth Afrika hufanya hapo Bongo, unajichukulia kimya kimya...
Kumbe kenya ni desertHizi barabara ziko kwenye counties maskini kenya
View attachment 2494670View attachment 2494671View attachment 2494672View attachment 2494673View attachment 2494674
Hebu tupe kitu kipya toka Nairobi.
Ours is a free economy anyone can invest in Tz even Kenyans are welcome sio kama nyie ambao ni ma protectionists kuanzia wenyewe kwa wenyewe due to ukabila mpaka kwa foreigners.Wakenya bana, juzi hapa ulikua unalialia kuhusu aliyekua anawapiga kwenye maparachichi, sasa leo umeibuka na mwingine anawapiga kwenye majani chai, huu ni ujasiri ambao siuwezi mimi....jamaa majasiri balaa.
Sema huyu anayewapiga kwenye majani chai naye angejua namna ya kula na kipofu, angezuia attention kwa kulipa hao Watanzania walalahoi mafao yao, avoid attention, endelea kutafuna hilo shamba la bibi bila kusababisha makelele na matukio, angeiga namna Wahindi na Waarabu na Wachna na hata Wasouth Afrika hufanya hapo Bongo, unajichukulia kimya kimya...
Sawa tuu na Arusha mbona
Ours is a free economy anyone can invest in Tz even Kenyans are welcome sio kama nyie ambao ni ma protectionists kuanzia wenyewe kwa wenyewe due to ukabila mpaka kwa foreigners.
Tunakumbuka vizuri sana figusu mlizo fanya kwa South African breweries Thika plant, Fastjet na hata Rostam alipotaka kujenga gas filling plant in Mombasa.