Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The hate from kenyans towards JPM it's next level.... ivi huyu mzee kawafanyia nini haswa?🤣🤣🤣🤣

ni aibu kwa mtanzania hasa akina Lissu kufanya alivyofanya. Damu ya kitanzania haipo hivyo!

aibu pia kwa vyombo vya habari vyote vilivyoshadidia eti Magu yupo Nairobi.. kwanza Magu tokea lin akubali kwenda Nairobi? mke wake mwenyewe alibaki Dar hukuhuku
 
Wamefika hapo kwa kuomba loans nyingi kama sisi. Debt to Gdp ratio yao ipo juu kama yetu. Yaani saa zingine hakuna haja ya kuringa kwamba mna Gdp kubwa ikiwa mna madeni mengi. High debt to Gdp ratio ndio imefanya credit rating ya Ghana kushuka. Hata this week credit rating ya Kenya ilishushwa na S&P kama sijakosea. Madhara ya kuwa na debt to Gdp ratio kubwa ni kwamba credit ratings zinashuka halafu banks na investors wanaanza kukataa kutoa mikopo na bonds kwa serikali.
Halafu pia ugunduzi wa oil iliwaingiza mkenge wa kukopa kwa unhealth rates wakijua watalipa wasijue mafuta hushuka bei pia! Walikuwa na hali mbaya mkapa waka-devalue currency yao!
 
Halafu pia ugunduzi wa oil iliwaingiza mkenge wa kukopa kwa unhealth rates wakijua watalipa wasijue mafuta hushuka bei pia! Walikuwa na hali mbaya mkapa waka-devalue currency yao!
Halafu sijui ni kwa nini nchi za kiafrika huwa zinaomba Eurobond maana Eurobond zina rates za kinyonyaji sana. Nyinyi msifuate mkondo huo maana Eurobond itaumiza kama sisi.
 
Young lady What do you mean pesa Kutoka GDP?
Makusanyo ya Kodi yanaenda Treasury..na ndio yanatupa jeuri ya kufanya mamiradi makubwa ya Maendeleo na kuongoza ukanda huu wote na pia kusubsdize pembejeo za Kilimo ili huko Kenya pia mpate chakula kwa bei poa
Hii kitu ndiyo naipata leo. Hivi kuna kitu kinaitwa GDP account kinahifadhi pesa kutoka GDP? Au labda wewe umemwelewa alikuwa anamaanisha nini!
 
Huyu rais wa Ghana ndiye anaelewa umuhimu wa kuindustrialize by adding value to cocoa and producing chocolate. Anasema wazi kwamba Ghana inapanga kuwacha kuexport cocoa to Switzerland na itaanza kuproduce chocolate wenyewe. Yaani kama tungekuwa na marais wengi wa Afrika wanaoelewa umuhimu wa kufanya value addition to our raw materials kama huyu jamaa basi tungekuwa mbali. Lakini achunge asipigwe risasi na kuuwawa. Wazungu hawapendi viongozi wa Kiafrika wanaopigania maslahi ya wananchi wao. Akina Patrice Lumumba waliangamizwa na beberu kwa kuwakaripia

Ni kama huyu wa kwetu ambaye anataka tuache ku-export pamba. Badala yake tuanze kutengeneza kitambaa ili kupunguza importation ya nguo na kunufaisha zaidi uchumi wetu.

Pia anahamasisha sekta binafsi kujenga viwanda vya kubangua korosho ili kuiongezea thamani. Haishii hapo, anawasisitizia mabalozi wetu kuwatafutia wakulima masoko. Juzi tu hapo tumepata masoko mapya ya parachichi SA na India.
 
hii si ndo sababu mnamchukia Magu, au unajitia upofu? kazuia malighafi kibao.. mfano nyama kwa viwanda vyenu vya nyama, kazuia parachichi, kazuia tanzanite, mchanga wa migodin etc
Wanajifanya hawaoni ya jirani yao ambaye kapambana mpaka kapata mwekezaji atakayejenga kiwanda cha kuchenjua makinikia (smelter) ya madini tofauti tofauti. Pia amejenga kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) ili tuache kuuza nje dhahabu isiyosafishwa.

Hawaoni jirani Tz, wanaona mbali huko Ghana.
 
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
😂😂 sawaaaa soon tutajua who is a bum niqqa... endelea ku assume yupo kwenye kunyan hospital
 
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
Nairobi hamna cha zaidi cha kumfanya JPM akatibiwe huko, ikishindikana DAR ni Europe
 
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
Unaweza kunipatia ushahidi kwamba JPM yupo Kenya kwa ajili ya matibabu?
 
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
Na bado tutawaibisha 🤣🤣

N it's obviously mnamchukia so enough with the hypocrisy Twitter says it all on dem comments but wanasema more haters more progress let that sink in
 
Hio habari nadhani inamaanisha kwamba Covax ya WHO ni bure. Ila sisi tumeagiza 12 million more vaccines at ksh 10 billion maana covax haitoshi. Ni vizuri hio pesa itatumika kununua extra vaccines.
Alf same time munaomba 5b ksh za kuchomea sindano hvi mulirogwa na nani?🤣
 
Nimeiangalia hii video makala nzuri sana
Hawa Wachina ni watu wanajitambua sana. ..
Iyo town waliojenga apo Angola ni kali sana hapa tz wakifanya ivyo dunia nzima itajua
Sijakuelewa mkuu, dunia nzima itajua kivipi? Kwn huo mji uliojengwa hapo Angola dunia haijui?
 
Back
Top Bottom