Hao tumeshawazoea wala hawatupi tabu walisema hivyo hivyo kwa SGR, Nyerere dam na sasa EACOPPDon YF alisema huu mradi ungeanza miaka 50 ijayo, sijui akiona hivi anajisikiaje!
Hao tumeshawazoea wala hawatupi tabu walisema hivyo hivyo kwa SGR, Nyerere dam na sasa EACOPPDon YF alisema huu mradi ungeanza miaka 50 ijayo, sijui akiona hivi anajisikiaje!
Ahsante sana kaka



Ni habari mbaya mnooo wanaweza wasiingie tena humu kwa mwezi mzima.Don YF alisema huu mradi ungeanza miaka 50 ijayo, sijui akiona hivi anajisikiaje!






Ni mbaya sana kwa wana mazingira wa kikenyaHabari mbaya sana hizi![]()





ombaomba Rigathi Gachagua, huwa wanasema watanzania wanaenda nairobi kuomba, naona wamemwajiri rasmi Gachagua kwenda kunya kuwaombea chakula, too bad
lakini hamna Mtanzania mwenye njaa, au anayekufa kwa njaa kama wakunya, amkeni fanyeni kazi acheni blabla...Ni nchi ngapi hapa Africa za LOWER Middle income zimetajwa kukuwa na watu wengi fukara wa kutupwa kando na Nigeria?
View attachment 2488876
Obama hakuwahi kufanya Official visit Kenya mpaka amestaafu. Tanzanania tulipata bahati ya kutembelewa na wote, kuanzia Bill Clinton, George W. Bush na Obama wote wakiwa madarakani na haturingi. Kenya Obama alikuja several times lakini kabla na baada ya kustaafu. Hili la Biden tusubirie aje kwanza ndo utuletee hapa.mambo kama haya.. sasa tanganyika mtakua mnaionea tu viusasa


Kwa mara ya kwanza ndio nimeona usereous wa battle picha nzuri by the way ila hizo solar juu ya tower picha ya mwisho ina reflect adha ya umeme nairobi au?
Project ipo speed sana hiyo, nipo nayo karibuKumbe mambo yanaenda kimya kimya.
Wakae mbali kabisa na Tanzania, Kenya wangekua na mji unaojengwa kwa fujo kama Dodoma tusingekua tunaingia humuNi habari mbaya mnooo wanaweza wasiingie tena humu kwa mwezi mzima.![]()
Hii itakuwa ni western version cbdWadogo zangu kutoka Kundustan msilie sana.
![]()
Mdogo wangu nakuheshimu. Huwezi ukaanza kuongea unjinga namna hii nakuangalia. Hivi eneo mnalolima maua mgelima mahindi njaa
Hyo inaitwa sustainable Green energy building. Africa is so blessed with all round sunny days throughout the year. It makes economical sense to reduce the cost of running the building.Kwa mara ya kwanza ndio nimeona usereous wa battle picha nzuri by the way ila hizo solar juu ya tower picha ya mwisho ina reflect adha ya umeme nairobi au?