Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Two Rivers Mall, the Largest mall in East and Central Africa
fbkkgvrwqacclxa-jpg.2255605

245456638_897552401122283_2916307548327479988_n-jpg.2255634

9gAlYn8.jpg

pD8i7hn.jpg

BPq2nvc.jpg

oZJbk8O.jpg
 
Imebidi tutumie akili kwa kutumia ardhi kidogo iliyopo kulima mazao yenye hela nyingi, ili tutumie hiyo hela kununua mahindi kwenu na kufanya mengine mengi, ndio maana nikasema unaweza ukawa na ardhi ekari moja ukamzidi kipato mwenye ekari mia.
Sasa mbona Riggy G anaongea tofauti na yeye yuko jikoni kabisa?
 
Imebidi tutumie akili kwa kutumia ardhi kidogo iliyopo kulima mazao yenye hela nyingi, ili tutumie hiyo hela kununua mahindi kwenu na kufanya mengine mengi, ndio maana nikasema unaweza ukawa na ardhi ekari moja ukamzidi kipato mwenye ekari mia.
Mdogo wangu nakuheshimu. Huwezi ukaanza kuongea unjinga namna hii nakuangalia. Hivi eneo mnalolima maua mgelima mahindi njaa ingetokea wapi?
 
Ni kweli nchi inapitia kiangazi kikali kama nilivyokuambia zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame tupu, mngepewa hii nchi nyie mngeisha wote kwa mlivyo wazembe, hata hivyo huyu DP sijui kaokotwa wapi, silipendi.....sijawahi kuskliza sera zake, hapa tulipigwa.
Anyway aluta continua, tunaendelea kuboresha nchi licha ya changamoto zote hizi na tutaongoza miaka 100 ukanda huu....
Jambo la kushangaza ni kwamba, Tanzania ambayo haisumbuliwi Sana na ukame, ndiyo iliyojenga mifumo mikubwa ya umwagiliaji zaidi ya mara 3 ya Kenya. Who is who?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Imebidi tutumie akili kwa kutumia ardhi kidogo iliyopo kulima mazao yenye hela nyingi, ili tutumie hiyo hela kununua mahindi kwenu na kufanya mengine mengi, ndio maana nikasema unaweza ukawa na ardhi ekari moja ukamzidi kipato mwenye ekari mia.
Sasa ingekua hivyo msingekua kwenye red-light, Kenya kuna Njaa sioni kama mmesolve kama ulivyoandika au unaogopa kusema ukweli?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu nakuheshimu. Huwezi ukaanza kuongea unjinga namna hii nakuangalia. Hivi eneo mnalolima maua mgelima mahindi njaa ingetokea wapi?
Yani anasema wanalima mazao yenye faida ili wanunue mahindi kwa bei nafuu,kama ingekua iyo ni kweli basi nilitegemea wawe na food storage kubwa sana kwenye maghala yao na neno Njaa lisiwepo Kenya.
Lakini anachoongea na kinachoendelea vina oppose each other.
Wanalima chai alafu wanawekeza hizo fedha kwenye real estates na luxury zingine,siuliona ndio wanaongoza kwa kununua vitu vya kifahari?
Hawa jamaa wanafanana akili na Black Americans ambao walitumia $600B kununua vitu vya starehe ambavyo havina tija yoyote

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sasa ingekua hivyo msingekua kwenye red-light, Kenya kuna Njaa sioni kama mmesolve kama ulivyoandika au unaogopa kusema ukweli?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Hatujasolve 100% maana kiangazi kwa nchi kame kama hii sio mchezo, inabidi utumie akili na kushirikisha ubongo kwenye kila hatua....Hii nchi ingepewa wazembe wasiojua kutumia akili wangekufa wote.
 
Hawa, hasa mwenyekit wao Mbowe, wakitoka huku lazima waende dodoma 😀
 
Hamnaga tajiri anbaye hawezi afford chakula. Hiyo GDP ya kwenye makaratasi ugiriki waliumbakaga, it's matter of time

Chakula tunanunua sana tu, jeuri ya hela, mngekua na akili hiyo ardhi yenu kubwa ingewatajirisha sana.
 
Back
Top Bottom