Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EACOP imemtia hasira aweki tena emoji maamaeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SGR mlianza kwa mbwewe April 2017, sasa mnaingia mwaka wa sita hamjapanda train ya umeme! nyambaff, wengi mtakua mshakufa kabla ya mradi kukamilika, bladfwakin😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
DSM they don't know 👇
tuishi.tanzania-20230123-0003.jpg
tuishi.tanzania-20230123-0005.jpg
Dodoma itakua ya hivi.. barabara pana, majengo yenye space kubwa+greenish
 
SGR mlianza kwa mbwewe April 2017, sasa mnaingia mwaka wa sita hamjapanda train ya umeme! nyambaff, wengi mtakua mshakufa kabla ya mradi kukamilika, bladfwakin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua unajiliwaza tu na unajua SGR yetu ni ndefu kuliko zote Afrika so it must take long time to accomplish.
 
Najua unajiliwaza tu na unajua SGR yetu ni ndefu kuliko zote Afrika so it must take long time to accomplish.
Naongelea kipande kidogo kimewachukua miaka tano, sasa mnaingia wa sita, wacha kujitoa ufahamu mjukuu, mko hovyo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😝 😝 😝 ...,
 
Sijajua hawa jamaa ni akina nani nimeona tu account yao Instagram
Mm pia niliwafuatilia insta na nmewa follow, ila wana jambo lao, tutajua tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom