Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3rd UN office is being built in Kenya. Expatriates money.
Kenya hosts other UN offices including United Nations Environment Programme (UNEP) and the UN-HABITAT
1674443770102.jpeg
 
Kwani NIKE maane yake ni nini? Also Neno VISIT ni trade mark ya kampuni gani?
Je, Nike is an English word?
Stupidy Kundustan.
Your ignorance is beyond revival.. umeona Nike pekee? And if you're going to insult me at least get it right.. it's stupid not stupidy 😂
 
Hiyo niliyokuonesha ni ya Regional Commissioner. Hizo ni matumizi ya serikali. So onesha gari ya viongozi wa government. Achana na private.
Nina aibu kupost hata V8 ya government...ni heri nipost probox ya serikali kwa sababu hatutaki pesa iharibiwe ovyoovyo.. nyinyi endeleeni kujivunia misuse of government funds I'm not on the same boat
 
VISIT ni Trade Mark ya kampuni gani? Do they have patent?
Ushamba unakusumbua mkundustan.
Nilisema "kuweni original" patented or not, acheni kuwa copy cats... So kesho mtabandika magical tanzania pia kwa sababu neno magical haina patent?
 
Nina aibu kupost hata V8 ya government...ni heri nipost probox ya serikali kwa sababu hatutaki pesa iharibiwe ovyoovyo.. nyinyi endeleeni kujivunia misuse of government funds I'm not on the same boat
Gari inaharibu pesa za serikali?
 
Back
Top Bottom