Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Hatuhangaiki na KilimanjaroMbona huwa mnahangaika na mt Kilimanjaro
Hatuhangaiki na KilimanjaroMbona huwa mnahangaika na mt Kilimanjaro
'Akiitwa juu mawinguni' ndo inakuaje?Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno
Umekula kweli leo?Hatuhangaiki na Kilimanjaro
Imebidi nigoogle bible nipate kaelimu ya dini 😎'Akiitwa juu mawinguni' ndo inakuaje?
Si mtu akifa anabaki kaburini kwanza.. suala la kwenda mbinguni au jehanam, kwenye ukristo, ni mpk Yesu arudi au siku ya unyakuo ndo mchambuo wa kwenda jehanam na mbingun unaanza? Au ndo hata mambo ya dini nayo siielew
Unaambiwa mabus mazuri 'wanatutengenezea sisi' lkn mabus mabaya kama haya na hilo kwenye tweet ndo yanabaki kenya kufanya kazi
Yan ni sawa na fundi anakutengezea sofa zuri au nyumba nzuri lkn kwake hana sofa wala hana nyumba ya maana
View attachment 2490393
likabebe mafuvu in Ichoboy voice .Wewe umesema mnalima maua na chai mnauza bei mbaya halafu mnanunua chakula lakini Riggy G anasema yeye kama Deputy President mandate yake imekuwa reduced to a food beggar from mabeberu na kutoka kwa former colonial powers.Ndio nini hii..
Yani picha zimegongwa make up ya kwenda 🤣🤣🤣🤣🤣 kuna picha moja imekusanya nairobi yote mpaka misitu
Yani picha zimegongwa make up ya kwenda 🤣🤣🤣🤣🤣 kuna picha moja imekusanya nairobi yote mpaka misitu
Mbona unapost picha za watu sasa 🤣🤣🤣 au nairobi iko newyork???
Good evening mzee. Sina ubaya.. mapicha tuu😅Mbona unapost picha za watu sasa 🤣🤣🤣
Pole bro 😆😆😆😆😆Good evening mzee. Sina ubaya.. mapicha tuu😅
Mbona unapost picha za watu sasa 🤣🤣🤣 au nairobi iko newyork???
View attachment 2490487
Iyo Mall ni kubwa na inavutia sanaNimepanda. Ni tamu sana ukipanda alafu unawweza kuona CBD ukiwa juu kabisa
View attachment 2490391
View attachment 2490392
Wanasema sisi ni wavivu,okay mvivu anauza mahindi owa nchi zote izo?Jamaa hawana adabu hawa
Hamna sio mimi wadau, huyo mwamba huwa namkubali sana sijui kapotelea wapi! Mentor wangu huyo kwenye kuwakata Wakunya ngebe![]()
Wakuu tuweni serious hivi mtu akiitwa juu mawinguni tunajuaje, mwamba alikua active mno lakini over sudden tu hayupo hata kucheckin mara moja moja, hii imekaaje sababu alikua active mno