Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya Jiwe hayo, design and build, force account. Airport terminal ikawekewa vibanda vimezunguka utadhani stendi ya daladala.
Jiwe pamoja na mapungufu yake kaonesha nothing impossible. Hata baba wa atom (proton, electron and neutron ) bwana dalton alikosea lakini bado ndio chanzo cha uthubutu mpaka sasa anaheshimika. Jiwe kathubutu sana vilevile yeye ni binadamu "hakuna mkamilifu".

Pia bwana Galileo walimuua kwa kusema dunia ndio inazunguka jua. Mwisho wa siku waliprove Galileo alikua sahihi

Same applied kwa jiwe, generation zijazo wataona alikua sahihi sehemu nyingi, kama approach aliyochukua kwenye kudeal na covid. Sasa dunia nzima ipo kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli was right in everything, hajawahi kukosea yule mzee yn kwakifupi Magu hakupaswa kuzaliwa EA.
 
Wakenya huwa wananichekesha sana kwa kujitutumua humu. Lakini ukweli wananchi wao wanawakubali sana watanzania

1671868252689.png
 
Kwanza pekejeng ndo nn?
Hii kitu sijui maana yake ila imenichekesha sana 🤣

while nyinyi mnasema 'Pisi'..
sisi tunasema 'Mayeng' ama 'Pekejeng' the latter being, 'woman genitalia🍑 itseluf'.!🤣
 
Toka amekuja mwanza ni porojo, na hili suala la airport yeye analikuza, lilikuwa limeisha, anajifanya financial advisor.
Kuna mtu wa TAA alimchoma kwa Mbarawa aliitisha kikao akafoka balaa
Nakumbuka alipokuwa Mbunge alitoa kauli kuwa vyombo vya Mengi inafanya coverage yake kuliko mambo ya kitaifa..! 🤣 🤣 Mangi akarukwa akili akaenda Dodoma kutoa utetezi!
 
Kwnn waafrika hatuna heshima.
Ila we mdogo wangu bhana sometimes unanihuzunisha sana, nyie mko busy kumtukana Samia, tena matusi kabisa. Sisi tukikosoa mapungufu ya JPM mnasema hatuna heshima? Heshima ni nini? Mind you ukiwa kiongozi immunity yako ya kusemwa inakufa, utasemwa ukiwa hai utasemwa ukifa sababu maamuzi yako yameacha athari kwenye maisha ya watu. So sitaacha kumsema JPM au yoyote akionesha mapungufu, ambacho sitafanya ni kuwatukana na kuwakosea adabu.

So ukweli ni kwamba kwenye uwanja wa Mwanza (ambayo ni maamuzi ya JPM), alikosea kutoa maelekezo bila kuwashirikisha TAA na ndio kinasumbua mpaka sasa hivi uwanja haujakamilika, wewe uko kwenye aviation industry unajua. Matokeo yake kila mkuu wa mkoa akija anakuja na maagizo yake. Watu hawataki tu kusema ukweli. Very funny situation.
 
Back
Top Bottom