Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
DODOMA inakuja 👇.
Huu mradi wa EACOP Tz itakuwa inapiga USD 1bn kila mwaka clean money kama right of way na bado faida katika 15% share za Tz.Ni habari mbaya mnooo wanaweza wasiingie tena humu kwa mwezi mzima.![]()
Hawa majirani ni wajinga sana wanawezaje kupinga ujenzi wa mradi wa EACOP kwa kisingizio cha mazingira wakati wao wanakaa kwenye mazingira machafu kabisa hapa EA.Ni mbaya sana kwa wana mazingira wa kikenya![]()
Kila siku wanasema HDI yao iko juu kumbe ni fabricated data as usual by Kenyans.
HDI ,Kunyaland haiko hata top 10 wakati Tanzania ni
I can see another but modern Washington DC on the rise in Africa.Wakae mbali kabisa na Tanzania, Kenya wangekua na mji unaojengwa kwa fujo kama Dodoma tusingekua tunaingia humu
View attachment 2492483View attachment 2492484View attachment 2492485View attachment 2492486
Hawa tuishi wana jambo laoWakae mbali kabisa na Tanzania, Kenya wangekua na mji unaojengwa kwa fujo kama Dodoma tusingekua tunaingia humu
View attachment 2492483View attachment 2492484View attachment 2492485View attachment 2492486





Wa moto sana 😂😂Hawa tuishi wana jambo lao![]()
Naona vile vijumba vimeanza kuisha sasa.DODOMA inakuja.









Kwasasa vile Vijumba Vinaisha kwa kasi ya ajabuNaona vile vijumba vimeanza kuisha sasa.
Sisi ndiyo furaha yetu.Kumekucha..
- The rate of unemployment inaenda kuongezeka
- Kukosa kodi
- Production of beers probably itapungua na raw materials producers gradually watakosa soko, etc
Hawa tuishi wajengewe sanamu.
"kakubali" nini kilaza?...,hakuna popote mnaenda..,Kakubali![]()