Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wana hizo pictures tu, wanafosi kweli tufanane ila pictures ndio tatizo inawalazimu kufake pictures ili waende sambamba 😅
 
Halafu kuna madogo wanatembea nayo kwenye vimfuko ukiombwa hela na usitoe unarushiwa na siku yako yote inaharibika. Laana siyo bure aisee. [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Ila wawe makini na madalali/walanguzi, walafi, wapigaji. Unakuta mtu mmoja ananunua viwanja kama 100 halafu anavipima upya kwenye kiwanja kimoja anatoa hata vitatu ili apige pesa. Shida ndipo inaanzia hapo ujenzi holela na kuharibu master plan ya eneo.
 
Serikali inatakiwa wawe wakali sn kwenye suala la ujenzi holela, wasichekee wananchi hata kidogo, mtu aki violate nyumba ibomolewe kabisa nadhani hyo itafanya wananchi kuwa waoga na kutii sheria. Hata huku Dar ingekuwa hivyo hivyo.
Serikali ikianza kuchukua hatua za namna ndio utajua Tnazania kuna wanaharakati wa kutetea ujinga. Wakiona kelele zao hazisikiki ndani wanatimkia nje na kuomba serikali ifungiwe misaada na mikopo ya riba nafuu kwasababu ina uonevu.

Wananchi nao wabadilike. Utu tu viwanja twa 20/15 ni majanga kwa kweli.
 
Ni kweli 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…