Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rate za 6-7% tushasahau
1.LNG
2.Mchuchuma Liganga
3.Eacop
Zinavyokuja au zikianza most likely tutacheza kwenye 8 to 9% but hadi 2030 ndo we are lileky to see hizo

Tukiongeza industrial parks miaka miwili inayokuja , industrial parks kama Sino -Tan Size ile yenyewe inaweza pandisha GdP by 0.5 to 1% a year ikiwa completed
 
Ukiangalia kutakua na mradi gani mkubwa baada ya hii inatotekelezwa sasa uko badae? Inahitajika miradi kadhaa ya kuongeza mzunguko mkubwa wa hela ili mtaani hela ionekane especially kwenye mahitaji ya kila siku...
Hii miradi ukiachana na JNHPP 2024 mingi itaenda hadi 2030
1.. SGR itaendelea
2. LNG most likely to start after 2025

3. Eacop most likely to start after 2023 /24

4.Mchuchuma and Liganga Coal and Iron mining .2024 maybe

5. Dar es Salaam Port Berth 13 and 14 container terminal maybe 2024/25

6. Roads construction, will pick mostly after SGR phases are over due to budget being more free

Plus kitu kikubwa ni miradi kuanza kuzalisha kufanya kazi , wakati wa ujenzi ita boost GDP on construction part na manufctring part lakini ikianza ita boost overall vitu vingi.

SGR mfano itaboost
1.Transport services
2.Exports
3.Tax
4. Agriculture development kama watu tutaitumia kweli
5. Saving peoples time hence increasing productivity days

JNHPP
1. Electriticty availability and affordability
2. Fishing
3. Increasing number of industries due to availability ya umeme
4 .Toursim (minimal)
 
Have you read the article itself? When you can clearly read the manager say we don't have reliable electric capacity to run the line. Ama you want us to force issues? As I said the line will be electrified when the times comes.
Acha kusikiliza ujinga wa viongozi yani nchi nzima ikose umeme wa kuendesha electric motors 6 kweli? Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
Na hapo Kocha ndio kwanza anatest mitambo kuwajua wachezaji apate first 11. Ukiacha njaa na mbio, Wakenya wako nyuma sana.

Game ya Mandonga ilikua ni pambano la utanguluzi lakini kwakua Mandonga chonga mbaya na kalipromote mpaka wamejaa ukumbini na limekuwa ndio main pambano. Jamaa ni wababaishaji tu!
Mandonga kaenda kunyanyua mchezo wa ngumi Kenya, huwa hawajai ulingoni.
 
Iringa town
Iringa 👇
IMG_1416.jpg
IMG_1415.jpg
IMG_1417.jpg
 
Hii miradi ukiachana na JNHPP 2024 mingi itaenda hadi 2030
1.. SGR itaendelea
2. LNG most likely to start after 2025

3. Eacop most likely to start after 2023 /24

4.Mchuchuma and Liganga Coal and Iron mining .2024 maybe

5. Dar es Salaam Port Berth 13 and 14 container terminal maybe 2024/25

6. Roads construction, will pick mostly after SGR phases are over due to budget being more free

Plus kitu kikubwa ni miradi kuanza kuzalisha kufanya kazi , wakati wa ujenzi ita boost GDP on construction part na manufctring part lakini ikianza ita boost overall vitu vingi.

SGR mfano itaboost
1.Transport services
2.Exports
3.Tax
4. Agriculture development kama watu tutaitumia kweli
5. Saving peoples time hence increasing productivity days

JNHPP
1. Electriticty availability and affordability
2. Fishing
3. Increasing number of industries due to availability ya umeme
4 .Toursim (minimal)
Well demonstrated
 
do u think with the likes of IamLee, Teargass, Nicxie, Don YF n Mashashola u can have useful discussion in here?
It is very possible, unfortunately u are one of the ring leaders who contributed to the derailment of the thread with your propaganda, and infected clueless minds here, and most fell for your shenanigans, now we are merely exposing lies and propaganda being propagated by presenting undeniable facts of which it is difficult for your battalion to swallow, being led by the likes of The best 007, Sama boy 255, joto la jiwe na kadhalika,..ni wengi tu..,
Also everything about comparisons has been exhausted, we know all there is to know about Dar is slum and vice versa.., there are developments that Nairobi has accomplished but Dar has not countered effectively since the start of this thread and vice versa.,e.g., added tall buildings, completed bypasses, expressway, revamped commuter rail, etc, for Dar major one is BRT that Nairobi is yet to counter, sasa ni repititions tu, yaani going round in circles, imebakia kua mchezo wa paka na panya na kujienjoy tu.., hekaya za abunuasi, nothing serious as far as the objectives of this thread are concerned.
 
The tallest in Tanzania ni number ngapi in the region?
Haisaidii chochote ikiwa bado uchafu kwenye miji yenu yote uko palepale, ikiwa slums bado zinaongezeka kila kukicha, kajengo kamoja hakawezi kumaliza ufukara wa kutisha Kenya.
 
Mbona unaongea kwa uchungu sana?
 
Haisaidii chochote ikiwa bado uchafu kwenye miji yenu yote uko palepale, ikiwa slums bado zinaongezeka kila kukicha, kajengo kamoja hakawezi kumaliza ufukara wa kutisha Kenya.
Ask him will the tallest building add food on the table for Kunyans? These guys are preoccupied with things ambazo hazina mashiko ni wajivuni sana hawa.
 
Back
Top Bottom