Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
sawa msomiBy market capitalization
sawa msomiBy market capitalization
Ukiishi kilimani utapapenda zaidiHii ni one of the place naipenda kutoka Nairobi
Hatuna barabara inayofanana hivyo hapa DAR.. unabisha...?Kwamba hapo si Dar ama unamaanisha nini haswa? 😂😂
Wachana na DAR kijana 👇Relax dogo, sio vita 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2479618
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 UNIQUE ADVANCED ECONOMY.Naoma malori ya kenya yanabeba wanyama, mizigo na mafuvu ya binaadamu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2479647
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi tuna barabara safi ziko marked nye nye nye sisi tuna magari ya 2 yrs ago 😆😆😆 ona hilo bus sasa linalobeba mafuvu za wakenya hata wafungwa wanapanda magari mazuri
View attachment 2479659View attachment 2479660
Google earth is a fact beyond any reasonable doubt kilaza.., unajaribu kulazimisha nini sasa? chillax, u can't change facts no matter what.
3rd Quater GDP according to NBS 43 Trillion TshTanzania GDP Figures
2022
1st Quater 43.4 Trillion
2nd Quater 45.2 Trillion Tsh
3rd ?
4th?
Assuming Third Quater goes to 45 Trillion + also cause ya Toursim peak inaanza July to September plus increase in Mining activities .
Also 4th Would be the same the same or more hata 45Trillion plus cause ya Tourism na Agirculture production due to resumption of rains , Na Mining ya Coal etc
Naona tukifika 178 Trillion which is around 76Billion usd as IMF Projection
Tho Bado ni GDP ndogo sana Aiseh Inabidi Uzalishaji uongezeke .Sana we are so blessed we need to work more
Sawa hapo ni Bujumbura basiHatuna barabara inayofanana hivyo hapa DAR.. unabisha...?
Sidhani kama tutafikia hiyo Til.463rd Quater GDP according to NBS 43 Trillion Tsh
Tusubiri Data za 4th Quater
Meaning only 46 trillion is needed to reach 76usd Billion kwa 2022
Most of Kijitonyama is residential and lower to upper middle-class, To complete change this place to commercial district Alot of investment has to be doneWachana na DAR kijanaView attachment 2479664View attachment 2479665View attachment 2479667View attachment 2479670View attachment 2479672Nairobi tatu ndio upate ukubwa wa Dar ..
Why Not?Sidhani kama tutafikia hiyo Til.46
Ili mambo yawe sawa bado tunahitaji wawekezaji walete hela ndani ziongeze mzunguko...Na kupambana kuongeza uzalishaji wa ndani ili tuongeze mauzo zaidiRate za 6-7% tushasahau