Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,232
- 12,645
Shida hayo majengo yenu yana muonekano m'baya sana, kwanza yamepauka.Westlands
![]()
![]()
![]()
![]()
Angalia majengo ya Dar, jinsi yanavyopendezeshwa na rangi zake. Sasa nyinyi hayo majengo yenu yamekaakaa tu, mabaya na rangi pia hamjui kuchagua. RANGI MBAYA SANA. Ndo maana Nairobi kuna maghorofa mengi na bado pabaya
