Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh Iringa mjini kuna water body kubwa hivyo[emoji848][emoji848] ( Picha ya 4)
Anyway, Iringa ni pazuri kuliko hata hiyo Mombasa[emoji23][emoji23]
Ktupga mjomba kuna picha ya mwanza kuelekea mkuyuni hahaaaa
 
Mbona unaongea kwa uchungu sana?
Mbona wewe ni boya hivyo, unalazimisha fikra zako?.., ama ukweli imekuumiza tayari? pole. zoea, niko na uhakika haukuelewa chochote wewe ni wa vijiweni tu 😝 😂
 
Shida hayo majengo yenu yana muonekano m'baya sana, kwanza yamepauka.
Angalia majengo ya Dar, jinsi yanavyopendezeshwa na rangi zake. Sasa nyinyi hayo majengo yenu yamekaakaa tu, mabaya na rangi pia hamjui kuchagua. RANGI MBAYA SANA. Ndo maana Nairobi kuna maghorofa mengi na bado pabaya
Rangi gani hapa unaongelea kwanza
images%20(2).jpg
 
CBD yao tu hovyo ina vumbi kuliko Somalia, lkn umcheki akijisifu sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maumivu haya, pole mjukuu, Dar itabakia kukua tu Dar, na mifukara wengi EAC watabakia tu Tanzania kwa miaka zaidi ya hamsini zijazo., kwa vile hakuna la maana lililotendeka kuwakomboa, jipende mlivyo mtapona tu, hatufukuzi omba omba, umekaribishwa na wewe pia yakikulemea kwenu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
CBD yao tu hovyo ina vumbi kuliko Somalia, lkn umcheki akijisifu sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ugua pole pole mjukuu, maana neno CBD ni nadra in Dar (yaani ni city centre pekee).., ni uchungu ila zoea 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1673854125725.png

1673854229981.png

1673854261562.png

1673854274813.png

1673854291413.png

1673854303185.png
 
Ugua pole pole mjukuu, maana neno CBD ni nadra in Dar (yaani ni city centre pekee).., ni uchungu ila zoea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2483145
View attachment 2483147
View attachment 2483149
View attachment 2483150
View attachment 2483151
View attachment 2483153
Kwanza wala hamstahili ku battle na sisi wanuka mavi nyie, mpk leo mko na mazingira haya CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_362360832_384x512.jpg
tapatalk_1373477958_384x512.jpg
tapatalk_-280445561_376x512.jpg
tapatalk_-392870074_360x480.jpg
tapatalk_-1654485589_360x480.jpg
 
Back
Top Bottom