Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawa wapuuzi hii thread inasaidia Tz pekee mana tangu kuanzishwa kwake mabadiliko makubwa yametokea Tz kuanzia viongozi mpk raia, watu wanazidi kustaarabika, imebaki kitu kimoja tu UJENZI HOLELA ambayo nayo tunakwenda kuikomesha, lkn kwa upande wa hawa jamaa hii thread haijawasaidia chochote.
Unachosema ni kweli kaka kuna mambo yanafanyiwa kazi ambayo huwa yanaongelewa humu.

Sasa hivi Kilimanjaro kuna sheria kali imetungwa huwezi kukata mti bila idhini ya mamlaka, kabla hujachukua hatua yoyote lazima mamlaka iarifiwe ndipo unaruhusiwa, iwe mjini au kijijini lazima upate kibali kutoka Manispaa/Wilaya.

Binafsi ninawapongeza sana kwa hatua hii maana itasaidia kuondoa ukame na kutengeneza mandhari nzuri sana.

Hata mikoa mingine Tanzania ingewaiga watu wa Kilimanjaro kwa hili wanalolifanya.

Dodoma pia wanakuja vizuri kwenye upandaji miti, Kuna siku mkuu wa mkoa aliwaagiza watendaji wake wasimamie serikali za mitaa kuhakikisha wanapanda miti na kuhakikisha inakua.

Ni hatua nzuri sana, nchi nzima kuwa ya kijani ni suala la muda tu iwapo kama wataendelea na huu usimamizi wa sheria wa kupanda miti, kuitunza na kuzuia ukataji wa miti wa hovyo hovyo.
 
Sheria hiyo ipo kitambo tuu,ni suala la enforcement tuu na haijalishi ni mti ulipanda mwenyewe au vinginevyo..

Na unapewa kibali baada ya kulipia sio swala la kutoa taarifa tuu hapana.,2018 nilikutana na hili suala kwenye miti yangu mwenyewe,na Kwa miti ya asili it is much harder.
 
Ilo sio suala la Raisi, Wizara ya ujenzi na makazi ndio wanatakiwa waache kufanya kazi kimazoea,Mji unajengwa hadi umejaa sijui ivyo vibali wanavitoaje, lazima wacontrol maendeleo,Mbona apo Dodoma imewezekana?
Bila mamlaka za juu kuweka pressure watendaji wa chini huwa hawajiongezi.

Wafanyakazi wengi hucheza muziki wa anayewaongoza. Ni kawaida hiyo angalia hata kwenye familia watoto huiga tabia za wazazi au walezi wao. Hufanya vitu ambavyo wanajua wazazi wanavipenda.
 
Kapsaret Interchange, Eldoret
fb_img_1655217552496-jpg.3356303
 
Sheria hiyo ipo kitambo tuu,ni suala la enforcement tuu na haijalishi ni mti ulipanda mwenyewe au vinginevyo..

Na unapewa kibali baada ya kulipia sio swala la kutoa taarifa tuu hapana.,2018 nilikutana na hili suala kwenye miti yangu mwenyewe,na Kwa miti ya asili it is much harder.
Shida inakuja kwenye usimamizi ndipo wanafail. Hata mipango miji wana sheria zao lakini hawazisimamii mpaka watu wanajenga hovyo hovyo wanavyojitakia wenyewe.

Labda wananchi wenyewe tuendelee kupiga kelele huwenda wakaamka usingizini.
 
Mambo hayo yanahitaji utashi wa Kisiasa wa Kiongozi Mkuu..

Kwa hili Rais Samia angetusaidia maana hana maslahi binafsi ya Moja kwa Moja iwe Kisiasa au kwenye ardhi maana hana Cha kupoteza,awe Rais 2025 au asiwe hakuna shida..

Wameweza Ngorongoro,Mbarali na Machinga Hilo nalo linawezekana tuu.
 
Back
Top Bottom