watu wa mwendazake hawa hapa! Viwanja ambavyo vinaweza kupewa strategic investors wa mahoteli 5 star, malls e.tc. wameuza kinyemela! Kiufupi JPM alikosa exposure!
Na tunatakiwa tuliopewa dhamana tufanye kazi zetu,hawa wanasiasa ndio mnawafanya wanatudharauSerikali inatakiwa kutoa msukumo wa Kisiasa so bila utashi wa Kisiasa hakuna mpango Mji wowote
Ufanye kazi Yako si wanakupiga marufuku au kukutoa kabisaNa tunatakiwa tuliopewa dhamana tufanye kazi zetu,hawa wanasiasa ndio mnawafanya wanatudharau
Wakenya wanaweza dhani mtu kazi ni jina lake kumbe ni nick name, kama walivyodhani kingunge ni cheo kumbe jina la mtuHuyu Mandonga hata akipigwa, atakuwa amefanya kazi kubwa ya kutosha huko kenya [emoji1787]
MandongaMtuKazi [emoji123]
Nilishasema serikali iunde mamlaka au wakala wa kujitegemea ku deal na ujenzi holela ,kupanga Miji na masuala ya land administration Kwa ujumla..Dodoma kulikuwa na CDA, Hao walijitahidi sana kuzuia ujenzi holela na kuuziana viwanja kienyeji.
CDA ndio TBA Kwa Sasa sijui huko Dom!?
Kapambana,muandishi hajaigusa Kabisa Hotel kujua inatoa huduma zipi kakimbilia kwenye udaku