Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Compare and Contrast Mwanza vs Kisumu..

Kisumu
20230112_100121.jpg
20230112_100126.jpg


Mwanza 👇
20230112_100114.jpg
b5d6a41b99a6e9f557c0a2f1727e149f.jpg
dalali_peter_mwanzatz_242809836_980788245831807_1538807231181842071_n.jpg
dalali_peter_mwanzatz_242934391_560109055332047_5500029536846220050_n.jpg
dalali_peter_mwanzatz_242835515_389292065984263_2754136789217308589_n.jpg
 
Ww unataka viwanda wakati huna umeme wa kutosha watu wanaongezeka kilasiku umeme umeme uliopo hautoshi
Binafsi mamiradi makubwa kama haya ya Sgr na bwawa siyataki kabisa maana yanaua uchumi..

Unawekeza pakubwa ila Tija yake ni ndogo,miradi ya hivyo haifai kabisaa..

By the way miradi ni Mingi sana tena ya size ya Kati kuanzia viwanda Hadi majengo..

Mfano kwenye sekta ya Kilimo Kuna uwekezaji mkubwa unaendelea Kwa Ajili ya Kilimo mfano 👇


So investments kwenye sekta kama Kilimo ni muhimu sana Ili kuondoa mabilioni ya pesa tunazotumia kuagiz vyakula ambavyo tunaweza kuzalisha ndani,soma hapa👇
 
Norfolk (Fairmont)

The 114 years old restaurant at Norfolk was featured in Meryl Streep's Out of Africa movie.

Other Famous Guests: British PM Winston Churchill, UN Sec Gen Kofi Annan, US President Theodore Roosevelt, Mick Jagger, former First Lady Barbara Bush, Sean Connery, , Angelina Jolie and James Earl Jones
40077532351_3e5bc18f29_b.jpg
40077331101_6285248749_b.jpg
40044606962_351f8b1722_b.jpg
28296832599_9bbac355f3_b.jpg
 
Ilikua lazima tuandae umeme wa kutosha kwa manufaa ya badae,na njia ya kupitisha mizigo mizito ili barabara zidumu...Hakuna kilichopotea so far,Angalia nchi zilizoendelea kama hawana umeme wa uhakika na reli
Huyo jamaa miradi ya SGR na bwawa la umeme sio kama hajui impact yake baadaye, no sema kwasababu aliyefanya ni Magufuli so anajaribu kumpaka tope mwishoe anajichafua mwenyewe. Hivi mtu na akili zako unaweza kupinga mradi wa umeme?
 
Hawa watu kusema ukweli tunashindana nao humu kwasabu tu ya ujirani lkn kiukweli ni bora tushindane na Kigali but Nairobi doesn't deserve to battle with Dar, SI KWA UBAYA LKN.
 
Back
Top Bottom