Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have observed most Youtubers kutoka nje ya Kenya huwa wanaanzia Kenya, kisha wanazurura EAC na kurudi Nairobi, sio huyu tu.., Nigerians, Ghanians, Americans, etc.., they realize kwingine bado sana after doing comparison analysis..,


 
Hehehehe.., nimeachana na kijiji cha wavuvi dogo.., nime salimu amri walai 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1000_f_480025557_g27beluzjeanl9z6pcl5qgiolksd0ai4-jpg.2479769

1673696074652.png

1673696084418.png
 
suppose Uganda wanaanza kujenga mpaka Malaba then what? Kutoka Malaba mpaka Naivasha mtabebesha mzigo punda?
Uganda hawezi jenga SGR mpaka Malaba mpaka kwanza Kenya afikishe reli malaba.

Museveni was here last December he was oriented on TZ SGR progress tukampa mbinu na kumuunganisha na Yapi Merkez alivyorudi kwao kafuta mkataba na wachina kazi ipo.

UG is desperately looking for alternative route to the sea na pia is aiming for traffic from Congo, Rwanda , Burundi, Tanzania and S. Sudan.
 
Ni kweli, Bed night levy ni ya Zamani. Nilikua Hospitality industry miaka flani ilikua tunalipa 3 Usd kila kitanda kilicholaliwa. Kama chumba kina vitanda viwili na vyote vimelaliwa Bed night levy kwa siku hiyo inakua 6 usd.
Ni kweli, Bed night levy ni ya Zamani. Nilikua Hospitality industry miaka flani ilikua tunalipa 3 Usd kila kitanda kilicholaliwa. Kama chumba kina vitanda viwili na vyote vimelaliwa Bed night levy kwa siku hiyo inakua 6 usd.
Tatizo Sheria nyingi serikali zilikuwa wamezikalia kimya na watu wakajenga utaratibu kwamba hazipo Sasa wanazitekeleza inakuwa nongwa..

Watu hawafahamu kwamba hata fundi ujenzi hatakiwi kufanya kazi yeyote ya ufundi bila kuwa certified na relevant authority na awe na leseni ya kazi,tin namba na awe analipia ada kama registered engineers wanavyofanya..

Siku serikali ikija ku effect hii Sheria utasikia makelele.
 
SGR sio politiki jirani SGR ni action on the ground. Sisi tumeshafika lake victoria na bordes za Burundi, Rwanda na Congo everywhere is work in progress.

Sasa wewe kaa hivyohivyo na paper SGR maana mmezoea vitu vya kwenye makaratasi.
Mmefika lake victoria lini? ebu nitumie picha au ticket number ya train uliobook ya sgr 🤣 🤣
nyiniyi ndio bado mko na sgr ya makaratasi, haifanyi kazi
 
Ujenzi wa SGR umeshafika mwanza, Kigoma na mpakani mwa majirani zetu kijana yenu bado iko porini.
Hizi picha za Sumbawanga huwa nazipenda sn, zinapendeza machoni, maeneo mengi ya Tz ukitoa Dar yamejengeka kimpangilio sn, Dar tunafeli wapi sijui aisee. Ni kweli hatuna slums in Dar lkn ujenzi wa holela unakera sn na bado unaendelea na mamlaka zimekaa kimya.
tapatalk_-1988715710_720x405.jpg
tapatalk_429787564_720x405.jpg
 
Back
Top Bottom