Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama render ina perspective moja na hawajatoa view ya side nyingine how dare you make summary conclusions by calling it a canopy wakati hujapata full perspective? Unless you are a dumb ass engineer I will accept your reservations about this building.
Engineer wa wap huyo kaka🤣🤣🤣 tena engineer wa TRC kaelezea vzr na katoa sababu kwann itaingia ndani ya jengo alaf anakwambia eti ame skip kaaah 😁😁😁
 
Jibu swali? How many new units did you build in Tanzania? Kenya imepita 100 buses.
Limeni kwanza muwe na chakula ndio muendelee na vitu vingine. Yaani unampigia kelele anayekulisha. Halafu majirani wote wanapenda chakula toka Tanzania ndio ujue Tanzania wananguvu kiasi gani kwenye kuzalisha chakula waganda, wacongo, rwanda, wakunya wote mnapenda mchele wa tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 



MY TAKE
Ngosha wamegoma ku-redesign terminal badala yake wanataka iwe supermarket halafu serikali itoe fedha za terminal mpya!

Ila wajue tu, mikoa mingine wanalilia jengo kama hilo na wanaendelea kujichelewesha kimaendeleo!

Umesikiliza vizuri, Mkuu wa mkoa anasema TAA hawatoi ushirikiano.
Mkuu wa mkoa kashaandaa michoro yake kwa nini asiwape TAA kama ilivyokuwa awali?
Hilo jengo ndani ni Hall tu, kufanya partition ndio iwe shida? Mkuu wa mkoa anataka kupiga, kuna sehemu nimeona new design kaongeza canopy nje🤣🤣

IMG-20221227-WA0013.jpg

Hii ni Xinjiang China, ina tofauti gani na jengo la mza?
 
Wajerumani wameficha vitu vyao sana Tanganyika wakati wanatawala, wameiba hadi mijusi (dinosaurs ) na vitu vingi halafu wamekausha. Halafu bado wanataka kutunyonya hapo kuna vitu wamefukia tu wanataka wachukue kimya kimya. Sasa iwe win win sio wapate wao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mengi sana yapo.
Kuna meli ilizamishwa na Waingereza kwenye delta ya mto Rufiji. Katika vita kati ya Waingereza na Wajerumani "Battle of Rufiji Delta"

Hiyo meli ilikuwa imejaza madini ya Cobalt.
 
Kuna mengi sana yapo.
Kuna meli ilizamishwa na Waingereza kwenye delta ya mto Rufiji. Katika vita kati ya Waingereza na Wajerumani "Battle of Rufiji Delta"

Hiyo meli ilikuwa imejaza madini ya Cobalt.


Bundesarchiv_Bild_105-DOA3013%2C_Deutsch-Ostafrika%2C_Kreuzer_K%C3%B6nigsberg.jpg


Meli ya wajerumani SMS Königsberg ilizamishwa 11 July 1915.

Sasa tunatakiwa kuchimba kwa kina kuhusu hii meli na tuweze kuunganisha nukta na madini ya Uranium yaliyomo ndania mwa inayoitwa Selous Game Reserve.
 
Mkoa unataka jengo ‘lao’ liishe wapate chao, TAA nao wamesusa wanataka jengo jipya nao wapate chao. Hatari na nusu……..sisi wananchi tunataka jengo letu likamilike tupunguze adha, hili jengo litaondoka na mtu.
Umeongea vizuri sana
 
Asante engineer mjuaji haya wote mpigieni makofi kwa nguvu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] na niwape Risala fupi hiyu ndio designer wetu na pia ndio engineer mkuu wa hilo jengo haya makofi mengi kwakeeee waah wa waaaaah
View attachment 2461927
Ni kajinga alafu kako biased, tangu Venus Star akape makavu basi kila kitu cha Tz kibaya ila cha Kenya kizuri, zamani hakakuwaga hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lengo lao ni kukausha vyanzo vya mto.
Kwa sasa wapo watu 9 wamechepusha maji toka mto ruaha.
But tunapambana nao.

Ndani ya Selous Game reserve kuna hotel kubwa tu. Makomando kutoka nchi tajwa huwa wanakuja na kutoka kila mara kwa mara.

Ngoja nitazileta taarifa zote vizuri.
But tunapambana nao na hawatatuwezi. Rais amesema hataki kukwamishwa.
Kama hilo ni la kweli, basi mama awe makini sana, kuanzia watu wanaomzunguka mpaka safari za nje afanyavo.
 
Ni kweli kiongozi, nadhani hii plan yao ya ku-face lift ile water front ya Mwanza itakuwa mapinduzi pia ya mambo mengi, Mwanza is very potential, viongozi wake ni lazima wawe na exposure ya kutosha kuplan future ya Mwanza for 50years. Ngoja tuone mambo yanavyoenda. View attachment 2461903
Kaka, Mwanza ni mji ambao una viongozi hawana vision kabisa.
Halafu wanaamini hakuna kitu wanaweza fanya bila serikali kuu kuwapa fedha, kwa ujumla no uthubutu
 
Kuna mengi sana yapo.
Kuna meli ilizamishwa na Waingereza kwenye delta ya mto Rufiji. Katika vita kati ya Waingereza na Wajerumani "Battle of Rufiji Delta"

Hiyo meli ilikuwa imejaza madini ya Cobalt.
Mkuu,

Nasubiria Kwa hamu sana Habari za hapo Rufiji na hayo mapambano kama ulivyosema.

Shuka points to point... Hata wakifuta nirushie pm maana Kuna habari na habari.
 
Mkuu,

Nasubiria Kwa hamu sana Habari za hapo Rufiji na hayo mapambano kama ulivyosema.

Shuka points to point... Hata wakifuta nirushie pm maana Kuna habari na habari.


Mapigano ya Delta ya Rufiji yalipiganwa katika Afrika Mashariki ya Kijerumani (Tanzania ya kisasa) kuanzia Oktoba 1914-Julai 1915 wakati wa Vita vya Kwanza vya Kidunia, kati ya meli ya Jeshi la Wanamaji la Ujerumani SMS Königsberg, na kundi la meli za kivita za Uingereza. Vita vilikuwa mfululizo wa majaribio, ambayo hatimaye yalifanikiwa, kuzamisha meli ya Ujerumani.
 
Back
Top Bottom