Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani nani kakuambia lazma kuwe na barabara ya njia nne? kwani Zambia wana highway hizo? BTW hilo basi si double decker!

2012-VanHool-TD925-Double-Decker-C42522-1.jpg

ec8656588b161c8b144211e8410b24079003ad21fa075028858ec419ae2e5f7c.jpg
 
Hapo Habari mbili muhimu
1.BRT Phase 4 na 5 of which is good one

2.Ukraine war inavyozingua Tourism , kabla ya hii war Tulikuwa tumeanza kupoeka Tourist wengi sana kutoka Russia na Ukraine na walikuwa wanatembelea sana Zanzibar na badae Nyerere National Park as a triangle tour maana ziko karibu .Tuombee hii war iishe tu
Russia ilikua new Emerging Market na ilikua inakua kwa Kasi, Ilikua inatupa support endapo Traditional Markets(US& Europe) zikiyumba kidogo, Tuombe SMO iishe mapema wachangie kwenye utalii wetu.
 
Royal Luxury si kampuni ya Kitanzania bali Zambia!

Royal Luxury si kampuni ya Kitanzania bali Zambia!

Sawa lakini si inapiga route za Tanzania na Zambia shida iko wapi?

Hata Newforce Ni kampuni ya Kichina Ila inafanya kweli Nyanda z Juu Kusini 👇

kwani nani kakuambia lazma kuwe na barabara ya njia nne? kwani Zambia wana highway hizo? BTW hilo basi si double decker!

2012-VanHool-TD925-Double-Decker-C42522-1.jpg

ec8656588b161c8b144211e8410b24079003ad21fa075028858ec419ae2e5f7c.jpg
Double decker mkuu long safari na hawa madereva wetu wanaokunywa k vant kwenye chupa maji watatumwaga sana double decker ibakie mjini tuu kwenye brt.

Mawazo yangu tuu.
 
MY TAKE
Ngosha wamegoma ku-redesign terminal badala yake wanataka iwe supermarket halafu serikali itoe fedha za terminal mpya!

Ila wajue tu, mikoa mingine wanalilia jengo kama hilo na wanaendelea kujichelewesha kimaendeleo!

Mkoa unataka jengo ‘lao’ liishe wapate chao, TAA nao wamesusa wanataka jengo jipya nao wapate chao. Hatari na nusu……..sisi wananchi tunataka jengo letu likamilike tupunguze adha, hili jengo litaondoka na mtu.
 
Double decker mkuu long safari na hawa madereva wetu wanaokunywa k vant kwenye chupa maji watatumwaga sana double decker ibakie mjini tuu kwenye brt.

Mawazo yangu tuu.
mwangalie nawe na Mawazo ya kikauzu! mtu mwenye biashara yake na anataka kuboresha huduma huwezi kumkataza kwa vile madereva wanasababisha ajali!
 
Mkoa unataka jengo ‘lao’ liishe wapate chao, TAA nao wamesusa wanataka jengo jipya nao wapate chao. Hatari na nusu……..sisi wananchi tunataka jengo letu likamilike tupunguze adha, hili jengo litaondoka na mtu.
hamna mahali TAA wamesusa ni hao vijana wa Magufuli waliokuwa wanajenga! Tatizo lililopo ni kujenga hayo mabanda ya maduka walipaswa wa-concentrate na jengo la abiria na si sasa dhumuni limebadilika na limekuwa shopping center! Halafu mkoa uache kujiaminisha utalii utakua kwa ajili ya uwepo wa airport tu! Kuleta international airlines tu ni kimbembe!
 
mwangalie nawe na Mawazo ya kikauzu! mtu mwenye biashara yake na anataka kuboresha huduma huwezi kumkataza kwa vile madereva wanasababisha ajali!
Double decker center of gravity iko high mkuu barabara zetu nyingi bado hazijafikia level za ulaya. Wao wana barabara pana zilizo nyooka na hakuna matuta ya kishamba kama sisi ukiongeza na challenge ya drink driving ya madereva utaleta tatizo kubwa sana.
 
hamna mahali TAA wamesusa ni hao vijana wa Magufuli waliokuwa wanajenga! Tatizo lililopo ni kujenga hayo mabanda ya maduka walipaswa wa-concentrate na jengo la abiria na si sasa dhumuni limebadilika na limekuwa shopping center! Halafu mkoa uache kujiaminisha utalii utakua kwa ajili ya uwepo wa airport tu! Kuleta international airlines tu ni kimbembe!
Kama nimemuelewa RC ni kwamba wamefanya re-design alafu TAA wamegoma ku-approve licha ya kuwaweka onboard, ndio mwisho anasema kama wakiendelea kuzingua akawashitaki kwa Waziri kuwa watu wako wanatukwamisha.
 
Back
Top Bottom