Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,471
Three usual towers, very boring city.
Three usual towers, very boring city.
This is an extended canopy. Ebu nionyeshe tofauti ya hiyo na hii hapa🤣🤣😂😂Bwana Teargass hii ndio unaita extended canopy?View attachment 2461857
The canopy which will be cladded and enclosured? Ulitaka tujenge bricks pote ndio ionekane ni ndani? Kwanza sijui kwanini hata tunabishana nini na wewe wakati jengo halijafika hata half way ushaanza kudata……😅😅 tuliza makalio, utakuja shangaa, hatubahatishi sisi.
Makalio yanamuwasha!The canopy which will be cladded and enclosured? Ulitaka tujenge bricks pote ndio ionekane ni ndani? Kwanza sijui kwanini hata tunabishana nini na wewe wakati jengo halijafika hata half way ushaanza kudata……😅😅 tuliza makalio, utakuja shangaa, hatubahatishi sisi.
Wapi Tofauti ya hiyo canopy ya Dodoma na hii hapa😂😂The canopy which will be cladded and enclosured? Ulitaka tujenge bricks pote ndio ionekane ni ndani? Kwanza sijui kwanini hata tunabishana nini na wewe wakati jengo halijafika hata half way ushaanza kudata……😅😅 tuliza makalio, utakuja shangaa, hatubahatishi sisi.
Huwa nafurahi sana mnavyopata tabu na Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dodoma station canopy
View attachment 2461911View attachment 2461913
Residential house canopy
View attachment 2461914
Soon watahamia Mwanza ujenzi wa SGR Station ukianza!Huwa nafurahi sana mnavyopata tabu na Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu nionyeshe tofauti hapa😂😂🤣😂Huwa nafurahi sana mnavyopata tabu na Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sisi tunaona ni canopy 😆😆😆😆
Ni “Extended canopy” kwasababu hii station haitakuwa na traditional platform canopy. Kutakuwa na extended “roof” inayounganisha jengo na upande wa reli, kutengeneza some kind of “tunnel” ambayo ndiyo mnasena treni inaingia ndani.Bwana Teargass hii ndio unaita extended canopy?View attachment 2461857
This is a perfect way to visualize it.
Asante engineer mjuaji haya wote mpigieni makofi kwa nguvu 👏👏👏👏 na niwape Risala fupi hiyu ndio designer wetu na pia ndio engineer mkuu wa hilo jengo haya makofi mengi kwakeeee waah wa waaaaahNi “Extended canopy” kwasababu hii station haitakuwa na traditional platform canopy. Kutakuwa na extended “roof” inayounganisha jengo na upande wa reli, kutengeneza some kind of “tunnel” ambayo ndiyo mnasena treni inaingia ndani.
Your country mates will slaughter you for saying the truth😂This is a perfect way to visualize it.
Huwezi kusema kuwa Dodoma station treni zinaingia “ndani” kwasababu zitakuwa zinaingia kwenye some kind of tunnel on the side of the station, lakini si ndani ya jengo.This is a perfect way to visualize it.
Hata hili naona kama wamekosea hebu toa mchango wako engineer mkuu🤣🤣🤣🤣Ni “Extended canopy” kwasababu hii station haitakuwa na traditional platform canopy. Kutakuwa na extended “roof” inayounganisha jengo na upande wa reli, kutengeneza some kind of “tunnel” ambayo ndiyo mnasena treni inaingia ndani.
Hebu tuoneshe canopy kwenye hii render na ukiipata tafuta sehem yoyote unywe soda ntalipa mm engineer mkuu🤣🤣🤣🤣🤣Huwezi kusema kuwa Dodoma station treni zinaingia “ndani” kwasababu zitakuwa zinaingia kwenye some kind of tunnel on the side of the station, lakini si ndani ya jengo.
Tazama hii station ya St. Pancras international iliyopo London. Hapa treni zinaingia ndani ya terminal literally.
ichoboy01
View attachment 2461933