Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo lako ni kuwa unafikiri kwenye huu uzi kila mtu ni low-life and uneducated. Think again.
Ww mjuaji unajua zaidi nishakuombea kazi kwa kadogosa amtoe yule engineer akupe ww hio kazi mjuaji 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unaipenda hii angle lakini hutaki kuona cross section inayotoa picha nzima ya jengo.
Weweeee shangilia engineer kasema canopy 🤣🤣🤣
Na yule engineer aliesema train itaingia ndani ya jengo aondolewe mara moja tunaomba tafadhali kadogosa
Screenshots_2022-12-29-10-54-20.png
 
ohk ila ndugu yangu utalii ni package as a whole na si maneno ya uwanja tu! Ninavyojua mimi NSSF hotel ilikuwa iwe 5 star hotel ya kwanza Mwanza ila zaidi ya miaka nane haijaisha! Pia kuna vitu kama tour companies nadhani wangefanya benchmarking Arusha na Zanzibar waone jinsi utalii unaendeshwa la sivyo ya Chato airport yanaenda kujirudia Mwanza Airport! Mwanza city fits well as mining and business center, the city needs to craft her own niche na si kwa vile Zanzibar, Moshi na Arusha ni tourism centers basi na Mwanza iwe tourism center wanaweza kupotea!
Mwanza mpaka sasa imeshaanza kufunguka kwenye utalii kama hii taarifa inavyosema ila naamini kitu kikubwa kitakachopaisha utalii wa Mwanza na uchumi wa Mwanza kwa ujumla ni ukamilifu wa SGR

 
Huwezi kusema kuwa Dodoma station treni zinaingia “ndani” kwasababu zitakuwa zinaingia kwenye some kind of tunnel on the side of the station, lakini si ndani ya jengo.

Tazama hii station ya St. Pancras international iliyopo London. Hapa treni zinaingia ndani ya terminal literally.
ichoboy01
View attachment 2461933
Acha ujinga hiyo Kings Cross St Pancras ni shade hapo juu kwenye platform Station yenyewe ni hilo jengo hapo nyuma ndio wanakata ticket na kusubiria treni pamoja na kuwa na maduka.
 
Acha ujinga hiyo Kings Cross St Pancras ni shade hapo juu kwenye platform Station yenyewe ni hilo jengo hapo nyuma ndio wanakata ticket na kusubiria treni pamoja na kuwa na maduka.
Mwacheni tu engineer wetu mjuaji wa jamii forum 🤣🤣🤣 leo naona katoa boko la hadhi ya 5 star hotel
 
Acha ujinga hiyo Kings Cross St Pancras ni shade hapo juu kwenye platform Station yenyewe ni hilo jengo hapo nyuma ndio wanakata ticket na kusubiria treni pamoja na kuwa na maduka.
Alaf angalia alivo mjinga sasa hio canopy inaunganisha majengo mawili haina maana kwamba treni ikipita hapo ndani halijaingia ndani ya jengo 🤣🤣🤣🤣 kwasababu picha tu inaonesha hapo ni ndani ya majengo yote mawili
 
Kwanza render Ina perspective moja. Hawajatoa renders nyingine zikionyesha nyuma ya station kutafananaje. Sasa nikuonyeshe Vipi? Ni entrance pekee ndiyo inaonekana. Kuna ile video Yule jamaa anayeelezea ali-skip picha ya cross section ya station. Ngoja nipige screenshot Halafu nikuonyeshe namaanisha nini ninaposema “extended canopy.”
Sasa kama render ina perspective moja na hawajatoa view ya side nyingine how dare you make summary conclusions by calling it a canopy wakati hujapata full perspective? Unless you are a dumb ass engineer I will accept your reservations about this building.
 
Halafu Kuna siri nyingi sana kuhusu Mto rufiji. Tayari documents zipo nitaanza kuzimwaga.

Kuna nchi tatu wamejipanga kutukwamisha.
1. Ujerumani
2. Uingereza
3. Ubeligiji

Maana delta ya mto huo kuna siri nyingi sana.
Tokea vita ya kwanza ya dunia. Na muunganiko wa stori ni pamoja na MV Liemba ya Ziwa Tanganyika.
Wajerumani wameficha vitu vyao sana Tanganyika wakati wanatawala, wameiba hadi mijusi (dinosaurs ) na vitu vingi halafu wamekausha. Halafu bado wanataka kutunyonya hapo kuna vitu wamefukia tu wanataka wachukue kimya kimya. Sasa iwe win win sio wapate wao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom